From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and cushions arrayed
na matakia safu safu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and cushions arrayed in rows,
na matakia safu safu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
reclining on them, arrayed face to face;
wakiviegemea wakielekeana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i call to witness those who stand arrayed in rows,
naapa kwa wanao jipanga kwa safu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
attired in silk and brocade, they shall be arrayed face to face.
watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they will be reclining on arrayed couches, and we will wed them to big-eyed houris.
watakuwa wameegemea juu ya viti vya enzi vilivyo pangwa kwa safu. na tutawaoza mahuru-l-aini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and yet i say unto you, that even solomon in all his glory was not arrayed like one of these.
lakini nawaambieni, hata solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and upon a set day herod, arrayed in royal apparel, sat upon his throne, and made an oration unto them.
siku moja iliyochaguliwa, herode akiwa amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme aliwahutubia watu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
if you could only see the wrong-doers arrayed before their lord, each bandying charges against the other.
na ungeli waona madhaalimu watapo simamishwa mbele ya mola wao mlezi, wakirudishiana maneno wao kwa wao!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
on the day when the angels and the spirit stand arrayed, they speak not, saving him whom the beneficent alloweth and who speaketh right.
siku atakapo simama roho na malaika kwa safu. hawatasema ila mwingi wa rehema aliye mruhusu, na atasema yaliyo sawa tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and to her was granted that she should be arrayed in fine linen, clean and white: for the fine linen is the righteousness of saints.
amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!" (nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watu wa mungu.)
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and one of the elders answered, saying unto me, what are these which are arrayed in white robes? and whence came they?
mmoja wa hao wazee akaniuliza, "hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? na wametoka wapi?"
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and the woman was arrayed in purple and scarlet colour, and decked with gold and precious stones and pearls, having a golden cup in her hand full of abominations and filthiness of her fornication:
mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and when they arrayed themselves against jalut and his hosts, they said: our lord pour forth on us patience, and set firm our feet, and make us triumph over the infidel people.
na walipo toka kupambana na jaluti na majeshi yake walisema: mola wetu mlezi! tumiminie subira, na isimamishe imara miguu yetu, na utusaidie tuwashinde watu makafiri--
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they shall be adorned with bracelets of gold and arrayed in green garments of silk, and brocade, reclining therein on couches; how excellent is their reward and how fine is their resting place!
humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. ni malipo bora hayo!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: