Results for artist translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

artist

Swahili

utamaduni wa wa swahili

Last Update: 2020-06-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

comedian artist zhang gang complained:

Swahili

msanii wa uchekeshaji, zhang gang alitoa malalamiko yake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he's that great of an artist."

Swahili

yeye ni aina ya wasanii wazuri kabisa."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

shared image by the artist and published with permission.

Swahili

picha iliyotumiwa ni ya msanii na imechapishwa kwa ruhusa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a batik artist making the blogger fest t-shirt.

Swahili

msanii wa batik akitengeneza shati la tamasha la blogu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

graffiti artist rei blinky at work in san pedro sula, honduras.

Swahili

msanii wa uchoraji kuta, rei blinky akiwa kazini huko san pedro sula, honduras.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the artist says the criteria for censorship are applied loosely and unequally.

Swahili

msanii huyo anasema vigezo vya kufuatiliwa havizingatiwi sana na havitumiki kwa usawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

blinky was the first artist who ventured out into the practically deserted streets.

Swahili

blinky ndiye msanii wa kwanza kuvinjari kwenye mitaa ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa imekimbiwa na watu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i myself feel indebted to him for finding many artist friends here and in this group.

Swahili

mimi mwenyewe najihisi kuwa na deni kubwa kwake hasa baada ya kuwa nimepata marafiki wengi wanasanaa hapa katika kundi hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

los angeles-based artist mary beth heffernan saw the ebola suits on news reports.

Swahili

msanii anayeishi los angeles mary beth heffernan aliona mavazi ya kujikinga na ebola kwenye taarifa za habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is also a self taught artist who loves to experiment and is currently working with charcoal and pastels.

Swahili

kadhalika ni msanii waliyejifunza mwenyewe anayependa kufanya majaribio na kwa sasa anafanya kazi mkaa na rangi za chokaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this unfortunately cannot be said of many other east african artists as i could not find any other artist blog.

Swahili

hili kwa bahati mbaya sana haliwezi kusemwa kwa wasanii wengi wengine wa afrika mashariki kwa sababu sikuweza kupata blogu yoyote ya msanii mwingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

leila dee dougan shares a music video from the latest album by the south african artist umlilo:

Swahili

leila dee dougan anaweka video ya muziki inayotoka kwenye toleo la hivi karibuni la msanii wa afrika kusini umlilo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i thought we could write a letter or statement and defend his position as an artist and an old friend and ask for his release.

Swahili

nafikiri tungeweza kuandika barua au tamko na kutetea nafasi yake kama mwanasanaa na rafiki yetu wa zamani na kudai kuachiwa kwake huru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

dar sketches is part of the street level project in dar es salaam, tanzania initiated by artist and illustrator sarah markes:

Swahili

dar sketches (michoro ya dar) ni sehemu ya mradi unaoanzia ngazi ya mtaa jijini dar es salaam, tanzania ulioanzishwa na msanii na mchoraji sarah markes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

here we share a series of photographs taken by puerto rican artist josué guarionex that show some of the faces he managed to capture amidst all the commotion.

Swahili

tumeweka mfululizo wa picha zilizopigwa na msanii wa puerto rico josué guarionex zinazoonesha baadhi ya nyuso alizoweza kuzipata wakati wa shamra shamra hizo zilizokuwa na kelele nyingi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

graffiti artist rei blinky is what journalist nathaniel janowitz calls a "pioneer" for the artistic movement sweeping through the city.

Swahili

msanii wa uchoraji kuta, rei blinky ndiye haswa mwandishi wa habari nathaniel janowitz anamhesabu kuwa ndiye "mwanzilishi" wa harakati hizi kupitia sanaa iliyoenea maeneo mbalimbali ya jiji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

artist reahu posted a note on his site, recently becoming popular after gaining media attentions in the past few months, in response to his critics:

Swahili

msanii reahu alituma ujumbe kwenye tovuti yake, ambayo imeongezeka umashuhuri hivi karibuni baada ya kuangaliwa na vyombo vya habari katika miezi michache iliyopita, ili kuwajibu wanaompinga:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

according to the art experts, soto's art is inseparable from the viewer, who is an active participant of the artist’s piece.

Swahili

kwa mujibu wa wataalamu wa sanaa, sanaa ya sato haijitengi na mtazamaji, ambaye ni mshiriki hai wa kazi ya msanii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

hafez omar, a palestinian activist and artist, tweeted : this is the first time since 1936 that the palestinians have protested for the sake of the cost of living!

Swahili

hafez omar, mpalestina mwanaharakati na msanii alitwiti: hii ni mara ya kwanza tokea mwaka 1936 tangu wapalestina walipoandamana kwa ajili ya kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,650,168,982 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK