From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
at this point of the vigil, a security officer for the park came to announce that all candles should be blown out and that the people should vacate the corner of the park.
katika hatua hii ya ibada, afisa mmoja wa usalama pale bustanini alifika na kutangaza kwamba mishumaa yote izimwe na watu wote watawanyike kuondoka kwenye sehemu hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.
mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
keeping records of events. i am organized honest and observant. my excellent physical condition allows me to work on my feet for an entire shift with ease. i have an established relationship with local law enforcement due to my experience working as a security officer. my diligence and professionalism have earned me praise both from local officers and from current supervisors. i would like the opportunity to bring that same level of stellar work to the security officer position with your company. i am confident that i am a candidate that will stand out from the rest. please contact me at the email or phone number provided at your earliest convenience to arrange a time to talk in person. i welcome the opportunity to talk to you and thank you very much for your hiring consideration for the security officer position with bedford corporation. sincerely, shayna booker
shayna booker city, jimbo, zip code home : 000 000 0000 cell: 000 000 0000 email@email.com dear mr. brewer, ninaandika kuomba nafasi ya afisa wa usalama na bedford corporation. nina uzoefu wa miaka mitatu wa usalama na kuongeza uwajibikaji na kufurahia kazi sana. hivi sasa, nimeajiriwa kama afisa wa usalama na oakdale mall ambapo majukumu yangu ya msingi ni pamoja na kuchunguza tabia ya tuhuma inayowashikilia wanunuzi ambao wamekamatwa katika shughuli haramu na kuweka
Last Update: 2023-11-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.