From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we broke them up into sections on this earth.
na tuliwafarikisha katika ardhi makundi makundi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and made his progeny to endure (on this earth);
na tuliwajaalia dhuriya zake ndio wenye kubakia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
blame falls only on those who wrong men and transgress on this earth without justification, such will have a painful punishment,
bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika nchi bila ya haki. hao watapata adhabu iliyo chungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they (sometimes) say: "there is nothing except our life on this earth, and never shall we be raised up again."
na walisema: hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and the things on this earth which he has multiplied in varying colours (and qualities): verily in this is a sign for men who celebrate the praises of allah (in gratitude).
na hivi alivyo vieneza katika ardhi vya rangi mbali mbali. hakika katika hayo ipo ishara kwa watu wanao waidhika.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whatsoever he has created for you on this earth of varying colours [and qualities from vegetation and fruits, etc. (botanical life) and from animal (zoological life)].
na hivi alivyo vieneza katika ardhi vya rangi mbali mbali.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.