From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we know best what they attribute to god.
sisi tunajua wayasemayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
are these two alike in attribute?
je! wako sawa katika hali zao?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we know well what they attribute (to us).
sisi tunajua wayasemayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
god is far above what they attribute to him,
subhana 'llah ametakasika mwenyezi mungu na hayo wanayo msingizia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
they tell lies and attribute them to god, knowingly.
na wanamsingizia mwenyezi mungu uwongo na wao wanajua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
because they attribute a son to the most merciful.
kwa kudai kwao kuwa arrahmani mwingi wa rehema ana mwana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do you attribute to allah what you do not know?
mnamzulia mwenyezi mungu msiyo yajua?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:
high is he above the partners they attribute to him!
subhanahu wa taa'la ametakasika na ametukuka na hayo wanayo mshirikisha nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but they attribute lies to allah, and they know [it].
na wanamzulia uwongo mwenyezi mungu, hali nao wanajua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
have you not considered those who attribute purity to themselves?
jee huwaoni wale wanao dai kuwa ati wametakasika? bali mwenyezi mungu humtakasa amtakaye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
indeed those who attribute lies to allah will not be felicitous.
hakika wanao mzulia uwongo mwenyezi mungu hawatafanikiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
glorified be allah from that which they attribute (unto him),
subhana 'llah ametakasika mwenyezi mungu na hayo wanayo msingizia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
would you attribute to god something of which you have no knowledge?"
mnamzulia mwenyezi mungu msiyo yajua?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(they say): “exalted be allah above what they attribute to him,
subhana 'llah ametakasika mwenyezi mungu na hayo wanayo msingizia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"our lord is merciful, whose help we seek against what you attribute."
na mola wetu mlezi ni mwingi wa rehema, aombwaye msaada juu ya mnayo yazua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(he is free) from the (sort of) things they attribute to him!
mwenyezi mungu ameepukana na sifa wanazo msifu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
glory be to your lord: the lord of glory is far above what they attribute to him.
subhana rabbi'l'izzat ametakasika mola mlezi mwenye enzi na yale wanayo mzulia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and most of them believe not in allah except that they attribute partners (unto him).
na wengi katika wao hawamuamini mwenyezi mungu pasina kuwa ni washirikina.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they attribute to allah daughters - exalted is he - and for them is what they desire.
na wanamfanyia mwenyezi mungu ati ana mabinti, subhanahu, aliye takasika! na wao wenyewe, ati ndio wawe na hayo wanayo yatamani!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and they attribute daughters to allah—immaculate is he—while they will have what they desire!
na wanamfanyia mwenyezi mungu ati ana mabinti, subhanahu, aliye takasika! na wao wenyewe, ati ndio wawe na hayo wanayo yatamani!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: