Results for availability translation from English to Swahili

English

Translate

availability

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

in availability

Swahili

Last Update: 2020-11-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as of 5 march 2020 labcorp announced nationwide availability of covid-19 testing based on rt-pcr.

Swahili

kufikia tarehe 5 machi 2020 labcorp ilitangaza kuwepo kwa kipimo cha covid-19 katika taifa inayotumia rt-pcr.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

availability of medication is also a real problem because the systematic failures in drug management and inventory tracking as well as distribution logistics hamper proper distribution of medications.

Swahili

upatikanaji wa dawa pia ni tatizo kubwa kwa kuwa kuna tatizo la kukosekana kwa usimamizi madhubuti wa dawa na taarifa za upatikanaji wa dawa pamoja na taratibu za usambazaji zinazokwamisha mgawanyo sahihi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

plan the schedule depending on the situation of the affected zones, level of studies, needs of students needs, and availability of parents.

Swahili

panga ratiba kulingana na hali ya maeneo yaliyoathirika, kiwango cha masomo, mahitaji ya wanafunzi, na kupatikana kwa wazazi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the high-throughput automated systems in many clinical laboratories will be able to perform these assays but their availability will depend on the rate of production for each system.

Swahili

mifumo ya uchunguzi wa mwili ya kiotomatiki katika mahabari nyingi za kliniki zitaweza kutekeleza majaribio haya lakini upatikanaji wao utategemea kiwango cha uzalishaji cha kila mfumo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

third, because of the limited availability of testing in many jurisdictions during this period, this analysis is likely biased toward more severe cases, and findings might change as testing becomes more widespread.

Swahili

tatu, kwa sababu ya kiwango cha chini cha vipimo katika maeneo mengi katika wakati huu, uchanganuzi huu huenda ukaegemea visa vibaya zaidi na matokeo yanaweza kubadilika vipimo vikiendelea katika maeneo mengi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the limited availability for interaction, a result of living in mostly segregated communities and exacerbated by the ongoing violent political conflict, perpetuates the historical fears, prejudice, and hatred that divide the two peoples.

Swahili

uwepo mdogo wa makutano, matokeo ya kuishi katika jamii zilizotengana na kuchochewa na mgogoro wenye machafuko mabaya ya kisiasa, vinaendeleza hofu za kihistoria, imani potofu, na chuki ambayo inawagawa jamii hizi mbili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a study performed in 2010–11 showed a large variation in the availability of intensive care and intermediate care beds in europe, ranging from 29.2 in germany to 4.2 beds per 100,000 population in portugal.

Swahili

utafiti uliofanywa 2010-11 ulionyesha tofauti kubwa katika upatikanaji wa vitanda vya matibabu ya hali mahututi na ya wastani barani ulaya, kuanzia 29.2 nchini ujerumani hadi vitanda 4.2 kwa kila idadi ya watu 100,000 nchini ureno.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"so the system is lying there...moribund," mr clarke says. the recent surge in availability of mobile phones and internet access in africa has prompted considerable enthusiasm regarding the use of these technologies for everything from marketing and e-commerce to tracking crop diseases and reminding hiv/aids and tuberculosis patients to take their medicine.

Swahili

msukumo wa hivi karibuni wa upatikanaji wa simu za mkononi na upatikanaji wa intaneti umechochea hamu ya kutosha kwenye matumizi ya teknolojia kwa ajili ya kila kitu kuanzia utafutaji masoko na biashara ya kwenye wavuti mpaka ufuatiliaji wa magonjwa ya mazao na kuwakumbusha waathirika wa vvu/ukimwi na wagonjwa wa kifua kikuu wanywe dawa zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,143,530,441 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK