Results for award translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

award

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

emmy award

Swahili

emmy

Last Update: 2015-03-21
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Wikipedia

English

what it means to award

Swahili

nini maana ya tunzo

Last Update: 2016-11-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the award is also supported by thomson reuters.

Swahili

tuzo hiyo pia inaungwa mkono na thompson reuters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

africa: the golden baobab award · global voices

Swahili

afrika: tuzo la mbuyu wa dhahabu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

crisis management award – national water and sewerage corporation

Swahili

tuzo ya udhibiti ya majanga – shirika la taifa la majisafi na majitaka

Last Update: 2024-03-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the breaking borders award is open to people of all nationalities.

Swahili

tuzo ya kuvunja mipaka iko wazi kwa watu wa kila taifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cambodia: award honors sex slavery survivor · global voices

Swahili

cambodia: tuzo yamuenzi aliyenusurika na utumwa wa ngono

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for vann's work, she was honored with the frederick douglass award.

Swahili

kwa kazi aliyofanya vann, alituzwa tuzo ya frederick douglass.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

2009 frederick douglass award winner - sina vann from free the slaves on vimeo.

Swahili

2009 frederick douglass award winner - sina vann from free the slaves on vimeo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we award unto those who turn away from our revelations an evil doom because of their aversion.

Swahili

tutawalipa wanao jitenga na ishara zetu adhabu kali kabisa kwa sababu ya kujitenga kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

picture of ahmed humaidan with several award winning photos that he toke and some awards he received

Swahili

picha ya ahmed humaidan akiwa na baadhi ya picha zake ziliozsababisha ashinde na tuzo alizopokea

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cnn african radio journalist award winner @annyosabutey shared a photo of protesters:

Swahili

mshindi wa uanahabari wa radio katika tuzo za cnn africa @annyosabutey aliweka picha ya waandamanaji:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

now an award-winning new film is seeking to bring home the personal consequences of the war for ordinary people.

Swahili

kwa sasa, filamu mpya iliyojipatia tuzo inatazamia kuelezea madhara ya mtu mmoja mmoja ya raia wa kawaida yatokanayo na vita vya nchini syria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

france: does prestigious literary award entail a "duty of restraint" ? · global voices

Swahili

ufaransa: tuzo ya fasihi yaja na masharti

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

according to blogging ghana website, nominations for the award were received from 314 people, totaling 1,128 nominations spread over 13 categories.

Swahili

kwa mujibu wa tovuti ya blogging ghana, mapendekezo yalitoka kwa watu 314, hiyo ikifanya mapendekezo kuwa 1,128 katika makundi zaidi ya 13.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

#herooftheweek award goes to 20 yr old marisol valles garcia, a criminology student that has become police chief in guadalupe, mexico...

Swahili

#herooftheweek tuzo iende kwa binti wa miaka 20 marisol valles garcia, mwanafunzi wa kriminolojia ambaye ni mkuu wa polisi wa guadalupe, nchini mexico…

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in 2011, zunar received the ‘courage in editorial cartooning award’ by the washington-based cartoonist rights network international.

Swahili

mwaka 2011, zunar alitunukiwa "tuzo ya ujasiri kwenye katuni ya kiuchambuzi' na mtandao wa kimataifa wa haki za wachora katuni ulioko jijini washngton.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

award-winning blogger asif mohiuddin and three other bloggers have become the latest target of the bangladesh telecommunication regulatory commission, according to online news site online news site timesworld24.com .

Swahili

mwanablogu aliyewahi kutunukiwa tuzo, asif mohiuddin pamoja na wanablogu wengine watatu siku za hivi karibuni wamekuwa wakifuatiliwa na tume ya kudhibiti mawasiliano ya bangladeshi, hii ni kwa mujibu wa tovuti ya habari za mtandaoni ya timesworld24.com .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the frederick douglass award "honors the tremendous resilience of the human spirit and emphasizes that many of the survivors of modern-day slavery go on to help others to freedom."

Swahili

tuzo ya frederick douglass “huenzi uwezo wa kumudu wa roho ya binadamu na husisitiza kwamba wengi wa wanaonusurika utumwa wa ki-leo huendelea kuwasaidia na wengine kuwa huru”

Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

london based iranian journalist masih alinejad won the 2015 women's rights award at the geneva summit for human rights and democracy for her facebook page "my stealthy freedom" this past week.

Swahili

mwandishi raia wa iran anayeishi london masih alinejad ameshinda tuzo ya haki za wanawake kwa mwaka 2015 kwenye mkutano wa geneva wa haki za binadamu na demokrasia kutokana na kampeni yake kwenye mtandao wa facebook iitwayo "my stealthy freedom"juma lililopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,822,076 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK