From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
gabriela continues her blog post mentioning the awards enrique has won through his texts written directly from jail:
gabriela anaendeleza makala hii ya blogu yake kwa kuziorodhesha tuzo alizowahi kuzipata enrique kupitia machapisho yake aliyowahi kuyaandika kutokea gerezani:
nominations for the ninth annual weblog awards: the 2009 bloggies started january 1 and closed january 19.
blogu zilizopendekezwa kwa ajili ya mashindano ya tisa ya zawadi za weblog: mapendekezo ya blogu katika mashindano ya bloggies ya 2009 yalifunguliwa tarehe 1 januari na kufungwa tarehe 19 januari.
she is also holder of two kenya kisima music awards: best taraab singer 2003 and best female singer 2005.
pia anashikilia mbili ya tuzo za muziki za kisima za kenya: mwimbaji bora wa taraab 2003 na mwimbaji bora wa kike 2005.
humaidan has won more than 140 international awards in photojournalism, and he is considered the second most arab photographer to win awards in photography competitions.
humaidan ameshinda zaidi ya tuzo za kimataifa 140 katika tasnia ya uandishi wa habari picha, na anachukuliwa kuwa mpigapicha bora wa pili wa nchi za kiarabu kushinda katika mashindano ya upigaji picha.
the kenyan blog awards seeks to reward bloggers that post on a regular basis, have great and useful content, are creative and innovative.
tuzo za blogu nchini kenya hutafuta kuwatuza wanablogu wanaoandika mara kwa mara, wanaoandika madhui yanayosaidia, na wenye ubunifu na ugunduzi.
mohiuddin, whose blog won the best social activism blog from the deutsche welle best of blogs awards 2012, has suffered backlash from his writing in the past.
mohiuddin, ambaye blogu yake ilishinda tuzo ya blogu bora ya uanaharakati wa kijamii kutoka kwenye tuzo ya blogu bora ya deutsche welle, 2012, amepata upinzani mkubwa sana kufuatia maandiko aliyokwisha kuyaandika.
#win14, india's biggest blogging conference and awards, hosted by blogadda, took place on february 9, 2014.
#win14, mkutano mkubwa zaidi na tuzo zinazoongoza nchini india, unaoandaliwa na blogadda, ulifanyika februari 89, 2014.
the most recent recognition was granted by the inba in the "mexico lee 2011″ contest, which awards the promotion of reading, for the book club he created inside the jail.
tuzo ya hivi karibuni aliyotunukiwa ilikuwa ni ile ya inba katika shindano la "mexico lee 2011″, inayohamasisha watu kusoma, hii inatokana na yeye kuanzisha klabu ya wasoma vitabu huko gerezani.