From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and as awkward and flawed as he was, i will dearly miss him and his talents.
na hata kama alikuwa mtu wa ajabu na mwenye mapungufu, nitamkosa sana yeye pamoja na vipaji vyake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
last year i felt like i just got shuffled around from house to house, drinking tea and eating meat and feeling awkward the whole time, but this year i felt like part of the celebration.
mwaka uliopita nilijisikia kama vile napelekwa kutoka nyumba hadi nyumba, nikinywa chai na kula nyama na nikisikia vibaya muda wote, lakini mwaka huu nilijisikia kama sehemu ya sherehe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: