Results for barely translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

cars are barely moving in the street

Swahili

ni magari machache sana yanaonekana kupita katika mitaa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

am i not better than this lowly man who can barely express himself?

Swahili

au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

am i not better than this miserable wretch, who can barely express himself?

Swahili

au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

incredibly, however the issues involved have barely registered the attention of the international community.

Swahili

inashangaza, hata hivyo suala hili halijapata wasikilizaji kwenye jamii ya kimataifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whenever any fresh admonition comes to them from their lord they barely heed it and remain immersed in play,

Swahili

hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa mola wao mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the tearful good bye on the 18th of august by musharraf came barely four days after the celebrations of the 61st independence day.

Swahili

kuaga huku kulikotawaliwa na machozi kulikofanya na musharraf mnamo tarehe 18 agosti mwaka huu kulikuja zikiwa zimepita siku nne tu tangu taifa liadhimishe sherehe za miaka 61 ya uhuru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they shall whisper among themselves: "you stayed on the earth barely ten days."

Swahili

watanong'onezana wao kwa wao: hamkukaa ila siku kumi tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

until, when he reached the point separating the two barriers, he found beside them a people who could barely understand what is said.

Swahili

hata alipo fika baina ya milima miwili, alikuta nyuma yake watu ambao takriban hawakuwa wanafahamu lolote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after many moons of tyranny, yesterday marked the end of a reign of power barely 60 days shy of nine years, pakistan turns over a new leaf.

Swahili

baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu, hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini, na hapa pakistani inafungua ukurasa mpya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

her blog which is barely one year old confronts issues of trafficking of african women for prostitution, love, culture and celebration of african men among other themes,

Swahili

blogu yake ambayo ni ya kadri ya mwmaka mmoja inazungumzia masuala kama usafirishaji wa wanawake wa kiafrika kwa ajili ya ukahaba, mapenzi, utamaduni na usherehekeaji wa wanaume wa kiafrika kati ya dhima nyinginezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this post is part of our special coverage nigeria elections 2011. with the 2011 general elections barely hours away, one man holds the key to the eternal propagation or termination of the social revolution through the ballot box in nigeria.

Swahili

huku zikiwa zimebaki saa chache tu kufikia uchaguzi mkuu wa 2011 (kabla uchaguzi haujaahirishwa), yupo mtu mmoja aliyebeba ufunguo wa kuendelezwa ama kusitishwa kwa mapinduzi ya kijamii kupitia sanduku la kuranchini naijeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

barely a day after some some nasty scenes occured at a rally organised by united democratict front national chairman dr bakili muluzi at goliati in thyolo district, the scenerior wore a new face when a democratic progressive party bus was on wednsday stoned in machinga district.

Swahili

kama siku moja baada ya matukio yasiyo ya kiungwana kutokea katika mkutano ulioandaliwa na mwenyekiti wa taifa wa udf dk. bakili muluzi huko goliati wilayani thyolo, tukio hilo lilichukua sura mpya pale basi la chama cha dpp kutwangwa mawe wilayani machinga siku ya jumatano.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

united national party organizer ajith p. perera wrote in his own obituary for prabhakaran in his blog, dare to be different: "he was a terrorist, no doubt, but prabhakaran deserves an obituary, even in a language he barely understood," perera wrote.

Swahili

kada wa chama cha united national party ajith p. perera ameandika salamu za rambirambi kwa prabhakaran katika blogu yake, akitaka kuwa tofauti na wengine: “alikuwa muuaji, bila ya shaka, lakini prabhakaran anastahili salamu za rambirambi, hata kama ni katika lugha ambayo alikuwa haielewi,”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,761,446,514 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK