Results for beginning and end translation from English to Swahili

English

Translate

beginning and end

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and end up the day with alhamdulillah

Swahili

maliza siku na alhamdulillah

Last Update: 2024-05-30
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i am alpha and omega, the beginning and the end, the first and the last.

Swahili

mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

it is he who creates from the very beginning, and he can restore (life).

Swahili

yeye ndiye anaye anzisha na ndiye anaye rejeza tena,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and indeed we bestowed ibrahim with guidance from the beginning, and we were aware of him.

Swahili

na hakika tulikwisha mpa ibrahim uwongofu wake zamani, na tulikuwa tunamjua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

voting will run from 3rd march 2014 and end on april 30th 2

Swahili

kupiga kura kutaanza kuanzia machi 3, 2014 na kumalizika aprili 30 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but peter rehearsed the matter from the beginning, and expounded it by order unto them, saying,

Swahili

hapo petro akawaeleza kinaganaga juu ya yale yaliyotendeka tangu mwanzo:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they wear seductive clothes and incite people and end up getting raped.

Swahili

wanavaa mavazi yenye ushawishi na kutamanisha watu na kuishia kubakwa.

Last Update: 2023-10-20
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i wish you good lessons and a good journey for you but something has a beginning and an end but all the time i love you i will be so proud �� ���� of you.

Swahili

nakutakiaa masomo memaa na safari njemaa kwakoo lakini kuna jambo lenye mwanzo na mwisho lakini mda wote nitakupendaa ♥️❤️ nitakumisi sana �� ����

Last Update: 2023-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the meantime several campaigns also asked rouhani to fix the iranian internet and end filtering.

Swahili

wakati huohuo, kampeni kadhaa zinamtaka rouhani kuboresha mtandao wa intaneti wa iran ikiwa ni pamoja na kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he said unto me, it is done. i am alpha and omega, the beginning and the end. i will give unto him that is athirst of the fountain of the water of life freely.

Swahili

kisha akaniambia, "yametimia! mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho. aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

@mansoor_aljamri: egyptians correct the path and end the hijacking of the arab spring.

Swahili

@mansoor_aljamri: raia wa misri wanasahihisha njia waliyopitia na kusitisha utekaji nyara wa chimbuko la waarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i am alpha and omega, the beginning and the ending, saith the lord, which is, and which was, and which is to come, the almighty.

Swahili

"mimi ni alfa na omega," asema bwana mungu mwenye uwezo, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

so be patient with anything they may say and glorify your lord with his praise before the rising of the sun and before its setting; and glorify him in the hours of the night and at the beginning and end of the day, so that you may find comfort.

Swahili

yavumilie haya wayasemayo. na umtakase mola wako mlezi kwa kumsifu kabla ya kuchomoza jua, na kabla halijachwa, na nyakati za usiku pia umtakase, na ncha za mchana ili upate ya kukuridhisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but what do you do when you try to embrace your significant other's cultural practices and end up standing out among colleagues?

Swahili

lakini, je, unafanyaje pale unapojaribu kukumbatia taratibu za kiutamaduni za mwenzako na kuishia kuonekana tofauti miongoni wa wenzako?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

both pray five times a day, give to the poor, have performed hajj and end all praise with the grateful invocations of allah’s grace.

Swahili

wote waliswali swala tano kwa siku, walitoa sadaka kwa maskini, walikwenda hija na walikuwa na walithamini sana kuomba rehma za mwenyezi mungu, allah.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i wish you good lessons and a good journey for you but there is something that has a beginning and an end but remember all the time i will love you i will be very grateful �� ����to god to protect you in every step of the way. i'm going to give you all

Swahili

nakutakiaa masomo memaa na safari njemaa kwakoo lakini kuna jambo lenye mwanzo na mwisho lakini kumbuka mda wote nitakupendaa nitakumisi sana �� ����mwenyezi mungu akulindee sana kwenye kila hatuaa careen ..mda wotee nitakupndaa

Last Update: 2023-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

sars-cov-2 mainly attacks the lungs in the beginning and probably also attacks, to a lesser degree, other organs that express ace2, such as the gastrointestinal system and the kidneys.

Swahili

sars-cov-2 hushambulia sana mapafu mwanzoni na pengine pia hushambulia viungo vingine vinavyodhihirisha ace2 japo kwa kiwango cha chini, kama vile mfumo wa matumbo ya gesi na figo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(muhammad), have patience with what they say, glorify your lord, and always praise him before sunrise, sunset, in some hours of the night and at both the beginning and end of the day, so that perhaps you will please your lord.

Swahili

yavumilie haya wayasemayo. na umtakase mola wako mlezi kwa kumsifu kabla ya kuchomoza jua, na kabla halijachwa, na nyakati za usiku pia umtakase, na ncha za mchana ili upate ya kukuridhisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

daa jack my darling..i know how you are drowning in difficulties ... i am going through..but nothing has a beginning and no end ... let's ask god to give us life ... there is a day and hour ...,. he will say i remember my anitha .. .because he is completely different from the one i cried for now

Swahili

dada jack kipenz changu..najua ni jinsi gani unamia kwa magum...ninayo pitia..ila hakuna kilicho na mwanzo kikakosa mwisho...tuombe mungu atupe uzima...ipo siku na saa.,.atatamka nimekumbuka anitha wangu...kwani yupo tofauti kabisa na uyu nilie nae kwa sasa

Last Update: 2021-10-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ye are of your father the devil, and the lusts of your father ye will do. he was a murderer from the beginning, and abode not in the truth, because there is no truth in him. when he speaketh a lie, he speaketh of his own: for he is a liar, and the father of it.

Swahili

ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. kila asemapo uongo, husema kutokana na hali yake ya maumbile, maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,228,838,871 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK