From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
by the beneficence of your lord.
kuwa ni fadhila zitokazo kwa mola wako mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do they then deny god's beneficence?
basi je, wanazikataa neema za mwenyezi mungu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
by the winds sent forth with beneficence.
naapa kwa zinazo tumwa kwa upole!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
commemorate the beneficence of your lord on zachariah, his devotee,
huu ni ukumbusho wa rehema ya mola wako mlezi kwa mja wake, zakariya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but abiding is the glory of your lord, full of majesty and beneficence.
na atabakia mwenyewe mola wako mlezi mwenye utukufu na ukarimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
blest be the name of thine lord, owner of majesty and beneficence!
limetukuka jina la mola wako mlezi mwenye utukufu na ukarimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and there will remain the countenance of thine lord, owner of majesty and beneficence.
na atabakia mwenyewe mola wako mlezi mwenye utukufu na ukarimu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when it is said to them: prostrate to the beneficent allah, they say: and what is the allah of beneficence?
na wanapo ambiwa: msujudieni arrahman! wao husema: ni nani arrahman?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
indeed it is he who sends the winds as harbingers of auspicious news announcing his beneficence, bringing heavy clouds which we drive towards a region lying dead, and send down rain, and raise all kinds of fruits.
na yeye ndiye anaye peleka pepo (za kuvuma) kuwa ni bishara kabla ya kufika rehema yake. hata hizo pepo zinapo beba mawingu mazito tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: