Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
image of president barack obama on a billboard in dar es salaam.
picha ya rais barack obama katika bango la barabarani jijini dar es salaam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
image of president barack obama on a billboard welcoming him in dar es salaam.
picha ya rais barack obama katika bango kubwa barabarani kumkaribisha jijini dar es salaam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they took to twitter to poke fun at the billboard and create the hashtag #mercipapafaure (thank you daddy faure).
waliingia kwenye mtandao wa twita kuchekeshana kuhusiana na bango hilo na kutengeneza alama habari #mercipapafaure (asante sana baba faure).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this week, a giant billboard was raised in lomé, togo that praised the president's action in favor of providing lunch for school children.
wiki hii, bango kubwa liliwekwa jijini lomé, togo kusifia kitendo cha rais kutoa chakula cha mchana kwa watoto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
billboards erected by his party supporting his intention to continue ruling the country are all over the capital city kampala.
mabango yaliyotengenezwa na chama chake kuunga mkono nia yake ya kuendelea kuitawala nchi hiyo yameenea kwenye jiji la kampala, makao makuu ya nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: