Results for blasphemous translation from English to Swahili

English

Translate

blasphemous

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

our compassionate lord alone is our support against your (blasphemous) utterances."

Swahili

na mola wetu mlezi ni mwingi wa rehema, aombwaye msaada juu ya mnayo yazua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

bangladesh: court orders shutting down of facebook pages for blasphemous contents · global voices

Swahili

bangladesh: mahakama yaamuru kufungwa kwa kurasa za facebook kwa kukashifu dini

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then they suborned men, which said, we have heard him speak blasphemous words against moses, and against god.

Swahili

kwa hiyo waliwahonga watu kadhaa waseme: "tumemsikia stefano akisema maneno ya kumkashifu mose na kumkashifu mungu."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

yet they attribute to some of his servants a share with him (in his godhead)! truly is man a blasphemous ingrate avowed!

Swahili

na wanamfanyia katika waja wake fungu. kwa hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila aliye dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they swear by allah that they said nothing blasphemous whereas they indeed blasphemed, and fell into unbelief after believing, and also had evil designs which they could not carry into effect.

Swahili

wanaapa kwa mwenyezi mungu kuwa hawakusema; nao wamekwisha sema neno la ukafiri, na wakakufuru baada ya kusilimu kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whenever we let man taste mercy from us, he rejoices in it; but when misfortune befalls them, as a consequence of what their hands have perpetrated, man turns blasphemous.

Swahili

na hakika sisi tukimwonjesha mtu rehema kutoka kwetu, huifurahia. na akisibiwa na ovu kwa sababu ya iliyo yatanguliza mikono yao, basi hakika mtu huyu anakufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on 6th of april hifazat-e islam arranged a rally to demand action against ‘atheists and blasphemous bloggers’ of the shahbagh’s ganajagaran mancha.

Swahili

mnamo tarehe 6 aprili, chama cha kiislam cha hifazat-e islam kiliitisha maandamano ya kudai kuchukuliwa hatua dhidi ya ‘wanablogu wasioamini mungu pamoja na waliokashifu dini’ wa ganajagaran mancha ya shahbagh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

members of hifazat-e islam, a radical islamist party in bangladesh, attacked female journalists on assignment as the group marched in the country's capital to demand strict islamic law, including a ban on free mixing of the sexes and punishment of "atheists and blasphemous bloggers".

Swahili

wanachama wa kikundi cha kiislamu nchini bangladesh hifazat-e islam, waliwashambulia waandishi habari wanawake wakati walipokuwa wakifanya matembezi ya umbali mrefu katika mji mkuu dhaka kushinikiza sheria kali za kiislam , ikiwa ni pamoja na kuzuia watu wa jinsia tofauti kuchanganyikana pamoja na kupinga adhabu ya “wanablogu waliodaiwa kuonesha kutoamini uwepo wa mungu na kukashifu dini”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,646,127,251 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK