Results for blasphemy translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

to disrespect him is blasphemy.)

Swahili

wala haikufalieni kumuudhi mtume wa mwenyezi mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@anthonypermal: we can't repeal blasphemy law.

Swahili

@anthonypermal: : hatuwezi kuikwepa sheria hii inayohusiana na kukashifu imani za wengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amnesty international urges pakistan to reform blasphemy laws:

Swahili

shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international limeitaka pakistani kuzifanyia mabadiliko sheria zinazohusiana na kukashifu imani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we shall never worship anyone other than him lest we commit blasphemy.

Swahili

hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni mungu. hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in blasphemy indeed are those that say that allah is christ the son of mary.

Swahili

hakika wamekufuru walio sema: mwenyezi mungu ni masihi mwana wa maryamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and for their blasphemy and for their speaking against maryam a mighty calumny.

Swahili

na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao maryamu uwongo mkubwa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

gillian gibbons was arrested for a “teddy bear blasphemy case” in khartoum.

Swahili

gillian gibbons alikamatwa kawa “makosa ya kukufuru ya teddy bear” mjini khartoum

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

be their hands tied up and be they accursed for the (blasphemy) they utter.

Swahili

mikono yao ndiyo iliyo fumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyo yasema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the revelation that cometh to thee from allah increaseth in most of them their obstinate rebellion and blasphemy.

Swahili

kwa yakini yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa mola wako mlezi yatawazidisha wengi katika wao uasi na kufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bangladesh is a non-religious parliamentary democracy, so there is no sharia law or blasphemy law.

Swahili

bangladeshi inaongozwa na utawala wa kidemokrasia usiofungamana na dini yoyote, kwa hiyo hakuna sheria ya sharia wala sheria ya ukashifuji wa dini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(to disrespect the holy prophet – peace and blessings be upon him – is blasphemy.)

Swahili

na sikieni! na makafiri watapata adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ye have heard the blasphemy: what think ye? and they all condemned him to be guilty of death.

Swahili

mmesikia kufuru yake! ninyi mwaonaje?" wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

despite such frequent unpleasant events, pakistan has made almost no progress in reforming its deeply flawed and discriminatory law involving blasphemy.

Swahili

pamoja na matukio hayo ya mara kwa mara yasiyopendeza, pakistani haipiga hatua zozote katika kuipitia upya sheria hiyo kandamizi ya kukashifu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the blasphemy offence comes under article 295-b of the pakistan penal code and the offender can get life imprisonment or a death sentence.

Swahili

kosa la kukashifu imani linaelezwa katika kifungu cha sheria namba 295 cha hukumu za pakistani ambapo mshitakiwa akikutwa na hatia anaweza kufungwa kifungo cha maisha ama hukumu ya kifo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if they desist not from their word (of blasphemy), verily a grievous penalty will befall the blasphemers among them.

Swahili

na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hast thou not turned thy vision to those who have changed the favour of allah. into blasphemy and caused their people to descend to the house of perdition?-

Swahili

hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in 2010, ambassador sherry rehman filed the 'amendments to the blasphemy laws act 2010′ in the national assembly as a member of the parliament.

Swahili

mwaka 2010, balozi sherry rehman aliwasilisha mabadiliko ya kifungu cha sheria ya 2010 ya makosa ya kukashifu imani kwenye mkutano mkuu wa bunge akiwa miongoni mwa wabunge wa bunge hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(to honour the holy prophet – peace and blessings be upon him – is part of faith. to disrespect him is blasphemy.)

Swahili

basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and i stood upon the sand of the sea, and saw a beast rise up out of the sea, having seven heads and ten horns, and upon his horns ten crowns, and upon his heads the name of blasphemy.

Swahili

(g12-18) na likajisimamia ukingoni mwa bahari. (g13-1) kisha nikaona mnyama mmoja akitoka baharini. alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na kila pembe ilikuwa na taji. jina la kashfa lilikuwa limeandikwa juu ya vichwa hivyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if we give man a taste of mercy from ourselves, and then withdraw it from him, behold! he is in despair and (falls into) blasphemy.

Swahili

na tukimwonjesha mtu rehema inayo toka kwetu, kisha tukamwondolea, hukata tamaa akakufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,646,126,464 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK