Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
america bombs countries and dictates to everyone.
marekani inalipua nchi nyingi na inataka kumtawala kila mtu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
everytime i closed my eyes i imagined bombs falling.
kila wakati ninafunga macho yangu ninapatwa na hisia kuwa mabomu yanaanguka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
protesters running away from tear gas bombs (posted by @janarlyspeaking)
waandamanaji wakikimbia kukwepa moshi wa mabomu ya machozi (imewekwa na @janarlyspeaking)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bombs went off throughout the day and clashes were reported between various factions.
mabomu yalilipuka siku nzima na mapambano yaliripotiwa kati ya makundi mbalimbali yanayopingana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ernest bazanye cautions against jumping to conclusions about who set off the bombs too soon:
ernest bazanye anatahadharisha kwamba pengine watu wasifanye haraka kuhukumu kwamba nani hasa alitega na kulipua mabomu hayo, bado ni mapema mno:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it was approaching 12am when the bombs took off, leaving over 70 people dead on the spot and others injured.
ilikuwa inaelekea usiku wa manane wakati milipuko hiyo ikitokea, shambulizi ambalo liliwaacha watu sabini wakiwa wamefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ghina was a victim of the crude barrel bombs that the government has dropped on civilian areas despite international condemnation.
ghina amekuwa mhanga wa mabomu ambayo yamekuwa yakitupwa na serikali kwenye maeneo ya raia licha ya kulaaniwa na mataifa mbalimbali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
everything started with a smoke curtain, provoked by the tear gas bombs that came out of the hands of the federal police.
mambo yote yalianza na pazia la moshi, lilisababishwa na mabomu ya machozi ambayo yalitokea mikononi mwa polisi (wa serikali kuu).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there is the game itself, but there are songs, roman candles, smoke bombs, drums, horns.
kuna mchezo wenyewe, lakini kuna nyimbo, mishumaa ya kirumi, mabomu ya moshi, ngoma, honi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they walked through the park, often trying to emerge onto the road, but heard many bombs and mortars and so had to go back into the forest.
walikatiza mbugani, wakitarajia kutokeshezea barabarani, lakini walisikia milio ya mabomu na na mizinga na hivyo iliwabidi kurudi tena msituni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in uganda, these celebrations were interrupted when bombs exploded at two popular nightlife spots in kampala, the country's capital.
nchini uganda usherehekeaji huu ulikatishwa pale milipuko ya mabomu iliposambaratisha maeneo mawili maarufu kwa sherehe za mpaka majogoo jijini kampala, mji mkuu wa nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the domestic bombs that they had weren't used because they didn't have time to load them with gas from the 2 gas stations on of each side of the highway.
mabomu ya kujitengenezea hayakutumiwa kwa kuwa hawakupata muda wa kununua mafuta kutoka kwenye vituo vya mfuta viwili vilivyo kandokando ya barabara hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it turns out that we were all surprised with tear bombs and rubber bullets; one protester close was shot directly in his thigh, and had a bullet lodged until he was taken away by the fire brigate.
punde tulishangaa kuona mabomu ya machozi yakitupwa pamoja na risasi za mpira zikifyatuliwa; muandamanaji mmoja aliyekuwa karibu yangu alifyatuliwa kwenye paja lake kiasi cha risasi kubakia pajani hadi pale alipochukuliwa na askari wa kikosi cha zima moto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they threw bombs at us, from the city hall to the sambadrome, they trapped us at avenida presidente vargas, we were able to go to praça tiradentes and there we saw on the tv in a bar, the riot troops were going there.
waliturushia mabomu, kutoka kwenye ukumbi wa jiji hadi kwenye sambadrome, walituzuilia kwenye avenida presidente vargas, tuliweza kufika praça tiradentes na tukiwa pale, tuliwaona wanajeshi wa kutuliza ghasia kupitia televisheni iliyokuwepo hapo kwenye baa wakielekea huko.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
comparisons were made with a case that happened last year, where a woman in the minhang district of shanghai threw self-made petrol bombs at a demolition crew preparing to destroy her house, which is the site of a transportation hub for the 2010 shanghai expo.
ulinganishaji wa kisa hicho na kingine kilichotokea mwaka jana cha mwanamke mmoja katika wilaya ya minhang shanghai aliyewatupia mafundi waliokuwa wakijiandaa kuvunja nyumba yake mabomu ya petroli aliyoyatengeneza, katika eneo ambapo kutakuwa kitovu cha usafirishaji kwa ajili ya eneo la kibiashara la shanghai 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@conormwalsh @lanceguma they may find traces of a familiar birthday cake on the bottles & canisters used to make the bombs — webster madanhi (@freedomtrapped) february 25, 2014
wanaweza kukuta mabaki ya keki maarufu ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwenye chupa za vikopo vilivyotumika kutenengeneza mabomu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting