From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
outgoing president thabo mbeki’s mother, epainette, is backing moves to split the african national congress (anc) and form a new breakaway political party.
mama wa rais thabo mbeki anayeondoka madarakani, epainette, anaunga mkono mipango ya kukigawa chama cha anc na kuanzisha chama kipya cha siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
news of the plans by mbeki supporters to form a new breakaway party emerged this weekend after the anc national executive committee (nec) announced that it had resolved to recall mbeki from his office. defence minister mosiuoa lekota, his deputy mluleki george and gauteng premier mbhazima shilowa are believed to be spearheading the campaign to start the still-to-be-named political party.
taarifa za mipango ya wanaomwunga mkono mbeki za kuunda chama kipya ziliibuka mwishoni mwa juma lililopita baada ya tamko la kamati kuu ya taifa ya anc kutangaza uamuzi wake wa kumuondoa madarakani mbeki kutoka katika nafasi ya juu kabisa nchini humo.waziri wa ulinzi, mosiuoa lekota, makamu wake mluleki george na gauteng premier mbhazima shilowa wanasadikiwa kuongoza juhudi hizo za kupiga kampeni ili kuanzishwa kwa chama hicho kipya ambacho bado hakijapewa jina.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: