Results for bridge the gap translation from English to Swahili

English

Translate

bridge the gap

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

she goes on to analyze why the gap between the opposition and chávez is narrowing.

Swahili

anaendelea zaidi kwa kuchambua kwa nini tofauti ya kura kati ya upizani na chavez inaendelea kupungua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when the protesters started to leave the bridge the police accompanying the march arrested three students who had earlier moderated the conversations with megaphones.

Swahili

waandamanaji walipoanza kutoka katika daraja hilo, polisi waliokuwa wakisindikiza matembezi waliwatia kizuizini wanafunzi watatu ambao hapo kabla walikuwa wakiongoza majadiliano kwa kutumia kipaza sauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the highest risk for men is in their 50s, with the gap between men and women closing only at 90.

Swahili

hatari kubwa ni kwa wanaume wenye umri wa miaka 50 na zaidi, na pengo kati ya wanaume na wanawake likikaribiana katika umri wa miaka 90 tu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ugandans are taking advantage of social media to bridge the gap between citizens and legislators, thanks to parliament watch uganda, a virtual tracker that monitors the parliament of uganda on a regular basis and provides both relevant data and expert analysis.

Swahili

wananchi wa uganda wanatumia vizuri mitandao ya kijamii kuwasiliana na wabunge wao, kwa msaada wa parliament watch uganda, taasisi inayofuatilia shughuli za bunge la uganda na kisha kutoa takwimu zinazohitajika pamoja na uchambuzi wa kitaalam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is also known for the spectacular sandbank that bridges the two nearby islands.

Swahili

kisiwa hicho pia kinafahamika kwa mchanga wa pekee unaounganisha visiwa hivyo viwili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then, when he had filled the gap between the mountain sides [he said], "now blow on the fire with your bellows."

Swahili

hata alipo ijaza nafasi iliyo kati ya milima miwili, akasema: vukuteni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

"give me pieces (blocks) of iron," then, when he had filled up the gap between the two mountain-cliffs, he said: "blow," till when he had made it (red as) fire, he said: "bring me molten copper to pour over it."

Swahili

hata alipo ijaza nafasi iliyo kati ya milima miwili, akasema: vukuteni. hata alipo kifanya (chuma) kama moto akasema: nileteeni shaba iliyo yayuka niimwagie.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,892,216,102 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK