Results for bulk translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

bulk

Swahili

wingi

Last Update: 2016-12-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

bulk file

Swahili

faili ya wingi

Last Update: 2025-02-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

write in bulk

Swahili

mwezi wa mwisho wa mwaka ni

Last Update: 2021-12-08
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

kwa maana ya bulk

Swahili

kwa maana ya wingi

Last Update: 2022-01-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what is the bulk of the chart?

Swahili

wingi wa chati ni nini?

Last Update: 2022-06-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as such jega has passed the bulk to politicians and lawyers.

Swahili

kwa namna kama hiyo, jega amewatupia mzigo wanasiasa na wanasheria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rajesh jain at emergic criticizes the ban on all bulk sms and mms in india to prevent mass mobilization of people before and after the ayodhya verdict.

Swahili

rajesh jain kwenye emergic analaumu kupigwa marufuku utumaji wa jumla wa ujumbe wa simu za mkononi pamoja na ujumbe wa media-anuai ili kuzuia uhamasishaji umma kabla na baada ya hukumu ya ayodhya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

even if you have nothing to hide, using encryption helps protect the privacy of people you communicate with, and makes life difficult for bulk surveillance systems.

Swahili

hata kama huna cha kuficha, kutumia zana hii kunalinda faragha ya watu unaowasiliana nao, na kufanya iwe vigumu kwa mifumo inayofuatilia mawasiliano ya watu kufanikiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the bulk of the maize is grown by peasant farmers who are faced with regular droughts during the rainy season, an unreliable and expensive supply of fertilizer, and difficulties transporting the commodity to markets.

Swahili

sehemu kubwa ya mahindi inalimwa na wakulima wadogo ambao wanakabiliwa na hali ya ukame wa mara kwa mara hata nyakati za majira ya mvua, ugavi wa mbolea usioaminika na wenye gharama kubwa, na matatizo ya usafiri kati ya mashamba yao na yaliko masoko ya mahindi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"email self-defense is only one important piece of the solution to bulk surveillance," fsf states:

Swahili

"ulinzi binafsi wa barua pepe ni sehemu muhimu ya utatuzi wa tatizo la kufuatiliwa mawasiliano," fsf linasema:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,644,274,932 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK