Results for bullets translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

rubber bullets fired.

Swahili

risasi za mpira zinapigwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the protests have so far left five people dead and dozens injured with bullets.

Swahili

maandamano hayo ya upinzani mpaka sasa yamesababisha vifo vya watu watano na na dazeni wengine kujeruhiwa kwa risasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unverified accounts of police using rubber bullets to shoot at protesters have circulated on social media.

Swahili

habari zisizothibitishwa za polisi kutumia risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after that came the first gust of bullets form the federal police, who were authorized to proceed via radio.

Swahili

baada ya hapo ukafuata mfumuko wa kwanza wa risasi kutoka kwa polisi ambao walipewa kibali kupitia redio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

sudan: "police denies use of bullets; all injuries are imaginary" · global voices

Swahili

sudani: “polisi yakanusha kutumia risasi; majeruhi wote ni wakufikirika

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

on the following friday night, police used tear gas and rubber bullets against a crowd that had gathered in front of the renamo offices in the neighbourhood of munhava.

Swahili

usiku wa ijumaa iliyofuatia, askari polisi walitumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya umati ambao ulikuwa umekusanyika mbele ya ofisi za renamo katika maeneo ya munhava.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it turns out that we were all surprised with tear bombs and rubber bullets; one protester close was shot directly in his thigh, and had a bullet lodged until he was taken away by the fire brigate.

Swahili

punde tulishangaa kuona mabomu ya machozi yakitupwa pamoja na risasi za mpira zikifyatuliwa; muandamanaji mmoja aliyekuwa karibu yangu alifyatuliwa kwenye paja lake kiasi cha risasi kubakia pajani hadi pale alipochukuliwa na askari wa kikosi cha zima moto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the fourth protest of the free fare movement, which took place this thursday, june 13, in são paulo was met with police repression in the form of pepper spray, rubber bullets and tear gas.

Swahili

maandamano ya nne ya harakati za kudai usafiri wa bure , yaliyotokea alhamisi ya tarehe 13 juni huko são paulo lilikabiliwa na upinzani kutoka kwa polisi waliokuwa wakinyunyiza maji ya pilipili, risasi za plastiki na mabomu ya machozi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

peaceful protesters in bahrain who are pressuring the government to release political prisoners and pay tribute to the more than 40 people killed by security forces since february have been faced with police attacks, brutality, tear gas, and rubber bullets.

Swahili

waandamanaji wa amani huko bahrain wanaoishinikiza serikali kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa na kuwaomboleza watu zaidi ya 40 waliouawa na vikosi vya usalama tangu mwezi fevruari walikabiliwa na mapambano makali na polisi, mateso ya kikatili, mabomu ya machozi na risasi za mpira.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bullet

Swahili

risasi

Last Update: 2015-05-30
Usage Frequency: 6
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,877,204,736 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK