From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in 6th place for 202 points businessman ahmed ezz.
katika nafasi ya 6 yenye pointi 202 ni mfanyabiashara ahmed ezz.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in 9th place for 181 points businessman naguib sawiris.
katika nafasi ya 9 yenye pointi 181 ni mfanyabiashara naguib sawiris.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogger pasha businessman urged the blogosphere to calm down and stop spreading unfounded rumors:
mwanablogu pasha businessman aliwasihi wanablogu kuwa watulivu na kuacha kueneza uvumi usiothibitika:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
arrow also established himself as a businessman in montserrat, owning the arrow`s manshop store in plymouth.
kadhalika arrow alijiimarisha kama mfanyabiashara huko montserrat, alimiliki duka la arrow’s manshop pale plymouth.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a recent sex scandal involving two top shanghai judges was exposed by a businessman ni peiguo who believes one of the judges was unfair in a ruling of a corporate suit that ni was involved in.
kashfa ya ngono ya hivi majuzi inayowahusisha majaji wawili maarufu wa shanghai iliwekwa hadharani na mfanyabiashara ni peiguo anayeamini kuwa mmoja wa majaji hakutoa hukumu ya haki katika kesi ya kampuni anayohusika nayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
businessman jack ma sent 1.1 million testing kits, 6 million face masks, and 60,000 protective suits to addis ababa, ethiopia for distribution by the african union.
mfanyabiashara jack ma alituma vifaa vya kupima virusi milioni 1.1, barakoa za uso milioni 6, na suti za kujikinga 60,000 kuelekea addis ababa, ethiopia kwa kusambazwa na muungano wa afrika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
henry mwampaya, s.lp 27 mbozi songwe, 05 02 204. yah: to sponsor brother modester henry mwampaya. look at the top of the story. i henry mwampaya is the parent of the brothers mentioned above, may i sponsor modester henry mwampaya who is a businessman in ka
henry mwampaya, s.lp 27 mbozi songwe, 05 02 204. yah: kumdhamini ndugu modester henry mwampaya. rejea kichwa cha habari apo juu. mimi henry mwampaya ni mzazi wa ndugu tajwa hapo juu, naomba kumdhamini modester henry mwampaya ambaye ni mfanyazi katika ka
Last Update: 2024-02-05
Usage Frequency: 1
Quality: