Results for by law translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

by law

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

he must not exceed the law in having vengeance; his victim shall also be assisted (by law).

Swahili

lakini asipite mpaka katika kuuwa. kwani yeye anasaidiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the head, torso, and limbs due to the impact of metal canisters being fired at them by law enforcement officials at close range.

Swahili

waandamanaji waliojeruhiwa ambao wachunguzi wa wanafizikia wa haki za binadamu (phr) waliowafanyia uchunguzi waligundua kuwa walikuwa wanasumbuliwa na majera yaliyotokana na kupigwa, mipasuko ya ngozi vichwani, kukosa sehemu fulani za miili yao, mikono na miguu, hii inatokana na maguruneti ya chuma wanayotupiwa katika umbali mfupi na maafisa wa polisi na kuwalipukia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but let him not commit any excess in killing [the murderer], for he has been assisted [by law].

Swahili

lakini asipite mpaka katika kuuwa. kwani yeye anasaidiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

labour laws clearly state that the company that takes you in as an intern is required by law to absorb you as their full time employee, paid in their scale and entitle to leave days among other benefits.

Swahili

sheria za kazi zinasema vizuri sana kuwa kampuni ambayo inakuajiri kama intani haina budi kukutendea kama wafanyakazi wengine, wakulipe na upate siku za likizo kama wengine, miongoni mwa stahili nyingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

patrick rajoelina argues that by law, if the president of the transition andry rajoelina still wants to run for the upcoming presidential elections in madagascar, he can no longer be president, according to the road map signed by all malagasy political parties in 2011.

Swahili

patrick rajoelina anahoji kisheria, ikiwa rais wa mpito andry rajoelina bado anataka kugombea katika uchaguzi ujao wa raia nchini madagaska, basi hatakuwa na sifa tena za kuwa rais, kwa mujibu wa makubaliano yaliyotiwa saini na vyama vyote vya nchi hiyo mwaka 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

your guardian-lord is allah, who created the heavens and the earth in six days, and is firmly established on the throne (of authority): he draweth the night as a veil o'er the day, each seeking the other in rapid succession: he created the sun, the moon, and the stars, (all) governed by laws under his command.

Swahili

hakika mola mlezi wenu ni mwenyezi mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. kisha akatawala juu ya kiti cha enzi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,747,341,963 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK