From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and after those days we took up our carriages, and went up to jerusalem.
baada ya kukaa pale kwa muda, tulifunga mizigo yetu, tukaendelea na safari kwenda yerusalemu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
so much so that the streets of east harlem were paralyzed to see the passing of the carriages, the magi on stilts, peruvian dances, capoeira, giant puppets and even two camels that live in a sanctuary in new jersey.
miji ya harlem ya mashariki iligubikwa na hamasa kubwa ya kuona gari la matairi manne linalokokotwa na farasi likipita, mamajusi watatu wakiwa juu ya magongo, ngoma za watu wa peru, capoeira, vikaragosi vikubwa mithili ya watu, na pia ngamia wawili wanaofugwa katika sehemu maalumu ya kufugia wanyama wasiohitajika tena huko new jersey.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
his companion, a younger man, also pulls out a gun and keeps it trained on the injured man, as the two exit the carriage.
mwenzake, kijana mdogo, naye anaitoa bunduki yake na kuiweka kwa majeruhi huyo, wakati wawili hao wakitoroka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: