From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
cayenne pepper
pilipili ya cayenne
Last Update: 2019-10-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
red pepper
red pepper
Last Update: 2021-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chili pepper
kitunguu swaumu
Last Update: 2020-05-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
•black pepper
• pilipili nyeusi
Last Update: 2021-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pepper vs. vinegar
pilipili dhidi ya siki
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
best media outlet print – the red pepper
shirika bora la kuchapisha habari – the red pepper
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if you didn't chew the pepper, then why complain about its hotness?
pilipili usiyoila yakuwashiani?
Last Update: 2014-01-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
journalists and the elderly became the target of the police's pepper spray:
waandishi wa habari na wazee walikuwa shabaha ya maji ya kuwasha ya polisi:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is not uncommon to see tv station cameramen being pepper sprayed or pushed away by police officers during the news report.
si jambo la ajabu sasa kuona wapiga picha wa televisheni wakinyunyuziwa maji ya kuwasha au kusukumwa na maafisa wa polisi wakati wakitekeleza shughuli zao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
protesters demanding genuine democratic elections in hong kong were met with batons, tear gas and pepper spray during the second day of demonstrations in the city.
waandamanaji waonadai uchaguzi wenye demokrasia kamili jijini hong kong walikumbana na nguvu za dola, mabomu ya machozi na maji ya kuwasha wakati wa siku ya pili ya mandamano hayo jijii humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
brazilian netizens on twitter are protesting under the hashtag #pimentavsvinagre (pepper vs. vinegar).
watumiaji wa mtandao wa nchini brazil katika mtandao wa twita wanapinga ongezeko la nauli kupitia kiungo ishara #pimentavsvinagre ( pilipili dhidi ya siki).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after the pepper spray incident and video, the university of california's participation in the worldwide occupy movement gained media attention.
baada ya tukio lililonaswa kwenye video la kumwagiwa pilipili, ushiriki wa chuo kikuu cha california katika vuguvugu la dunia nzima la maandamano ya kukaa ulivutia macho ya vyombo mbalimbali vya habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in hong kong, peaceful demonstrators demanding genuine democratic elections are using umbrellas to shield themselves from pepper spray and tear gas and to to keep them from getting wet if the police deploys water cannons.
nchini hong kong, waandamanaji wa amani wanaodai uchaguzi huru wa kidemokrasia halisi wanatumia miamvuli kujilinda na mabomu na kujizuia kulowa na maji ya washawasha kutoka kwa polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the words refer to the police's indiscriminate use of pepper spray and the vinegar-soaked cloth or bandanas that some protesters wear to counter the effects.
maneno haya yanatokana na udhalilishaji wa polisi wa unyunyizaji wa maji ya kuwasha pamoja na nguo zilizolowanishwa kwa siki au leso ambazo waandamanaji walizitumia kuzuia wasiathiriwe na matumizi ya vitu hivyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the fourth protest of the free fare movement, which took place this thursday, june 13, in são paulo was met with police repression in the form of pepper spray, rubber bullets and tear gas.
maandamano ya nne ya harakati za kudai usafiri wa bure , yaliyotokea alhamisi ya tarehe 13 juni huko são paulo lilikabiliwa na upinzani kutoka kwa polisi waliokuwa wakinyunyiza maji ya pilipili, risasi za plastiki na mabomu ya machozi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last march, after she posted topless photographs of herself on facebook.
wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sweet bell peppers
pilipili hoho
Last Update: 2017-09-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: