Results for challenges translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

challenges

Swahili

changamoto

Last Update: 2020-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

business challenges

Swahili

changamoto za biashara

Last Update: 2020-04-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

overcoming the challenges in youthful

Swahili

kukabiliana na changamoto zilizopo katika wizara zilizoainishwa

Last Update: 2024-04-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

problems and challenges of this beer.

Swahili

hii ni kutokana na ufanisi usioridhisha katika majukumu niyafanyayo ukilinganisha na jitihada ninazowekeza

Last Update: 2022-10-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

what are the most important challenges?

Swahili

je ni changamoto zipi zenye umuhimu zaidi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

despite challenges, this shift is truly monumental.

Swahili

pamoja na changamoto zake, mabadiliko haya ni ya kihistoria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but it also presents new challenges, as the artists indicate.

Swahili

lakini pia inaleta changamoto mpya, kama wasanii wanavyoonesha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

lasso also offers some solutions for the challenges bloggers face:

Swahili

lasso anatoa ufumbuzi kwa changamoto hizi wanazokabiliana nazo wanablogu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

due to the challenges i faced, i failed to complete my work.

Swahili

kutokana na changamoto nilizo kutana nazo nimeshindwa kuimalizia kazi

Last Update: 2022-01-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he also definitely makes the challenges of foreign reporting in somalia clear.

Swahili

pia anaziweka wazi changamoto za upashaji habari wa kigeni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

may 2011 saudi arabia: a woman challenges the law by driving in jeddah

Swahili

mei 2011 saudi arabia: mwanamke apingana na sheria kwa kuendesha mjini jeddah

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but despite the challenges, the benghazi skype school has been a success so far.

Swahili

lakini, pamoja na changamoto hizi, shule ya skype ya benghazi hadi sasa imekuwa na mafanikio makubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in addition we run programming that challenges the taboos of iranian society such as relationships and sex.

Swahili

pia, sisi huendesha programu ambazo huchachafya miiko ya jamii ya irani kama ile inayohusiana na mahusiano na ngono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

challenges in delivering critical childbirth and newborn care services were specially great in tacloban and leyte.

Swahili

changamoto katika huduma muhimu za kujifungua na kutunza watoto wachanga huduma zilikuwa sawa katika tacloban na leyte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

additionally, not to be outdone by his many challenges, chiluba went as far as tanzania looking for opportunities.

Swahili

na zaidi, ili kwamba asishindwe na changamoto zilizomkabili, chiluba alikwenda hata tanzania kutafuta fursa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it’s a deadline that fails to convince many commentators, if only because the challenges are so great.

Swahili

kutimia kwa ndoto hii ndani ya muda uliopangwa kumeshindwa kuwashawishi wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, kwa sababu tu changamoto zilizopo ni nyingi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

challenges in developing countries mean that investigators have to think creatively and come up with effective analytical techniques that cost pennies and are robust.

Swahili

changamoto katika nchi hizi ni kuwa lazima wakaguzi watumie njia ambazo zina ubunifu mkubwa, uangalizi wa kiteknolojia, usio na gharama kubwa lakini ambao ni madhubuti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

“one of the challenges was that photographs are kind of hard to come by in liberia and they are expensive to print.”

Swahili

“moja wapo ya changamoto ilikuwa ni kwamba ni vigumu kupata picha nchini liberia na ilikuwa gharama kubwa kuzichapisha."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

introduction natural outbreaks of disease could pose signifi cant challenges to global security by undermining national economies, international trade and travel, public health

Swahili

utangulizi wa milipuko ya magonjwa ya asili inaweza kusababisha changamoto za ishara kwa usalama wa kimataifa kwa kudhoofisha uchumi wa kitaifa, biashara ya kimataifa na usafiri, afya ya umma

Last Update: 2024-05-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the end of 2012 draws near, china digital times has summarized the changes and challenges facing china in 2013 based on different media reports and predictions.

Swahili

kadri mwaka wa 2012 unavyosogea karibu, jarida la china digital times limetoa muhtasari wa mabadiliko na changamoto zinazoikabili china mwaka 2013 kwa kutumia taarifa na bashiri mbalimbali za vyombo vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,832,098 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK