Results for circumvent translation from English to Swahili

English

Translate

circumvent

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

so (try to) circumvent me, all of you, give me no respite.

Swahili

basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and, by allah, i shall circumvent your idols after ye have gone away and turned your backs.

Swahili

na wallahi! nitayafanyia vitimbi masanamu yenu haya baada ya mkisha geuka kwenda zenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

from turkey, engin onder describes how turkish twitter users spread the word on how to circumvent the block:

Swahili

kutoka uturuki, engin onder anaeleza namna watumiaji wa twita walivyosambaza ujumbe wa namna ya "kuuzunguka" ufungiaji huo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

turkey has blocked twitter - as well as google's public dns service, used to circumvent the block.

Swahili

serikali ya uturuki imeufunga mtandao wa twita -sambamba na huduma ya google iitwayo dns, iliyokuwa inatumika kama njia ya mzunguko kufuatia kufungwa kwa mtandao wa twita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the first six months of 2015 alone, the presidents of burundi, benin, the democratic republic of congo, and rwanda have either personally or through their supporters expressed the intention to dispense with or circumvent term limits in order to seek additional terms of office.

Swahili

katika miezi sita ya kwanza ya 2015 pekee, marais wa burundi, benin, congo (drc), na rwanda wamejaribu ama wao wenyewe au kwa kuwatumia wafuasi wao, kuonesha nia ya kuondoa ukomo wa mihula ya utawala ili kuwawezesha kupata muhula mwingine madarakani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so they will certainly impugn you in what you say, and you will neither be able to circumvent [punishment] nor find help, and whoever of you does wrong, we shall make him taste a terrible punishment.

Swahili

kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,642,961,727 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK