Results for civilian worriors translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

civilian worriors

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

a civilian massacre.

Swahili

mauaji ya raia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he was shot from a civilian car.

Swahili

alipigwa risasi kutoka kwenye gari la kiraia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

army personnel and civilian volunteers work together to rescue those trapped.

Swahili

wanajeshi na raia wa kujitolea wanafanya kazi pamoja katika kuwaokoa watu walionasa kwenye kifusi cha jengo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the civilian conflict, which lasted from may 20 to 22, left no residents of the village alive.

Swahili

vita vya wenyewe kwa wenyewe, ambayo ilidumu kwa siku tatu kati ya mei 20-22, ilipoteza maisha ya wanakijiji wote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ghina was a victim of the crude barrel bombs that the government has dropped on civilian areas despite international condemnation.

Swahili

ghina amekuwa mhanga wa mabomu ambayo yamekuwa yakitupwa na serikali kwenye maeneo ya raia licha ya kulaaniwa na mataifa mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nor do they think that the west was created by satan and should be defeated in battle by inflicting maximum civilian casualties through random and creative acts of murderous suicide.

Swahili

na wala hawafikiri kwamba nchi za magharibi ndizo zilizomtengeneza sheitwan na kwamba raia wa kimagharibi ndio wanaopaswa kupigwa na kuangamizwa kwa kutumia matendo ya kujitoa mhanga yanayosukwa kwa ustadi na kwa kushtukiza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it also violated their international human right as refugees according to the recently released human rights watch press release, because refugees are meant to be kept in civilian conditions.

Swahili

imevunja haki zao za kimataifa za binadamu kama wakimbizi kwa mujibu wa tangazo la kwenye vyombo vya habari lilitolewa hivi karibuni na shirika la human rights watch, kwa sababu wakimbizi wanatakiwa kuwekwa kwenye mazingira ya kiraia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.

Swahili

benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i now call on the egyptian military to move quickly and responsibly to return full authority back to a democratically elected civilian government as soon as possible through an inclusive and transparent process, and to avoid any arbitrary arrests of president morsy and his supporters.

Swahili

ninalitaka jeshi la mirsi kuchukua hatua za haraka na za kiwajibikaji kurudisha mamlaka kamili kwa serikali ya kiraia iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia mara moja kwa njia za wazi na za pamoja, na kukwepa kumkamata rais morsi na wafuasi wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as part of our collaboration with syria deeply we are cross-posting a series of articles that capture civilian voices caught in the crossfire, along with perspectives on the conflict from writers around the world.

Swahili

kama sehemu ya ushirikiano wetu na syria deeply tuna mfululizo wa makala mbalimbali zinazogusa sauti za raia zilizopatikana katika machafuko sambamba na mitizamo ya waandishi kutoka ulimwenguni kote kuhusiana na mgogoro unaoendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however, the message is for magistrates to follow the spirit of the law and grant this permission to those women not involved in violent crimes, to ensure that the rest of the civilian population doesn't see pregnancy as a get out of jail free card.

Swahili

hata hivyo, ujumbe ni kwa ajili ya mahakimu kufuatilia kiini cha sheria na kutoa ruhusa hii kwa wanawake wale ambao hawahusishwi na mashitaka ya jinai ya matumizi ya nguvu, kuhakikisha kwamba idadi kubwa ya raia iliyobaki haiuchukulii ujauzito kama kadi ya kumtoa mtu jela bure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

-the forces armées de la république démocratique du congo (fardc), the armed forces of the drc, past masters of doing everything a national army is not supposed to do, and -monuc, the united nations mission to the drc, which, as michael described, is currently under attack by civilians angered over the force's inability to offer protection.

Swahili

- jeshi la wananchi wa kongo forces armées de la république démocratique du congo (fardc), ambao huko nyuma walijulikana kama mamahiri wa kila jambo ambalo jeshi la wananchi halitakiwi kufanya, na - ujumbe wa umoja wa mataifa nchini kongo, monuc, jeshi ambalo kama michael alivyoliezea, hivi sasa linashambuliwa na wananchi waliokasirishwa na kutokuwa na uwezo kwa jeshi hilo kuwalinda raia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,742,915,116 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK