Results for clause translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

punctuation mark used to set off a word after an independent clause

Swahili

alama za uwekaji alama zimetumika kuweka neno baada ya kifungu huru

Last Update: 2020-04-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

zambia needs this clause to be implemented because the benefits outweigh what people without any idea of what they are talking about.

Swahili

zambia inahitaji kipengele hiki kiingizwe kwa sababu manufaa yanazidi sana kile ambacho watu wasiojua yale wanayoyazungumzia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

riek machar will come back to juba as the 1st vice president of south sudan, and possibly with a clause making him unfirable by kiir.

Swahili

riek machar atarudi mjini juba kama makamu wa rais wa kwanza nchini sudan kusini; yawezekana kwamba kutakuwa na kishazi kitakachozuia kufutwa kwake kazi na kiir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

they probably did not want to admit the fact because of a constitutional clause which calls for the removal of the office holder, once declared unfit by a medical board if called by cabinet.

Swahili

huenda hawakutaka kukiri ukweli kwa sababu katiba inataka kuondolewa madarakani kwa kiongozi, ikithibitishwa na baraza la madaktari kwa ombi la baraza la mawaziri, kwamba afya yake ina matatizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but he who feareth from a testator some unjust or sinful clause, and maketh peace between the parties, (it shall be) no sin for him.

Swahili

na mwenye kumkhofia muusiaji kwenda kombo au kupata dhambi akasuluhisha baina yao, basi hatakuwa na dhambi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

...there is not a clause in this article, which defines the term "obscenity" and "neither government administrators nor the courts were legally compelled to specify what constituted "obscene material".

Swahili

...hakuna kifungu kwenye ibara hii, kinachotafsiri neno "ukosefu wa maadili" na "si watawala wa serikali wala mahakama zililazimishwa kufafanua kile kinachoitwa "vitu visivyo vya kimaadili".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,797,417,783 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK