From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a description of the coalition on its website says:
maelezo ya muungano huo kwenye tovuti yao yanasema:
Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
whom will they invite to be a part of their coalition?
je ni nani watakayemualika kujiunga na kundi lao?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sd: there are some alawites in the coalition, in the opposition.
sd: wapo baadhi ya watu wa alawite katika serikali ya mpito, kwa upande wa upinzani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as a representative of one of coalition member, transparencia venezuela , said:
kama mwakilishi wa mmoja wapo ya wanachama wa muungano huo, transparencia venezuela , walisema:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
his frustration came from a much-debated change in the statement of the coalition.
kukarahika kwake kulitokana na tamko lililojadiliwa sana la muungano huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zunar has been critical of the ruling coalition which has been in power since the 1950s.
zunar amekuwa mkosoaji mkubwa wa chama kinachotawala tangu miaka ya 1950.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a coalition of civil society in the gambia have launched ebola free gambia to try and keep the country ebola free.
muungano wa asasi za kiraia nchini gambia umeanzisha kampeni ya gambia isiyo na ebola kama jitihada za kujaribu na kuifanya nchi hiyo kujikinga na maradhi hayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a us-led coalition liberated kuwait in february 1991, after an eight-month iraqi invasion.
muungano ulioongozwa na marekani, ulifanikisha kuipatia uhuru nchi ya kuwait mapema mwezi februari, 1991, miezi nane mara baada ya kuvamiwa na nchi ya iraq.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
one coalition member, usted abusó, has received over 200 reports in 2013 which are largely about the political use of state resources.
mwanachama mwingine wa ushirikiano huo, usted abusó, wamepokea zaidi ya ripoti 200 ndani ya mwaka 2013 ambazo sana zinahusiana na matumizi ya rasilimali za nchi kwa minajili ya kisiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the original statement of the coalition was to march to break the siege in accordance with the principle of non-violence and anchored in international law.
tamko la asili lilikuwa kuandamana ili kuvunja vikwazo vinavyoizingira gaza kwa mujibu wa kanuni za amani zilizojikita katika sheria za kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the covid-19 clinical research coalition formed to coordinate and expedite results from international clinical trials on the most promising post-infection treatments.
muungano wa utafiti wa kliniki wa covid-19 uliundwa kuratibu na kuongeza matokeo kutoka kwa majaribio ya kliniki ya kimataifa katika matibabu yanayowezekana zaidi ya baada ya kuambukizwa.
Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:
@eienigeria (enough is enough nigeria) is a coalition of young nigerians working to mobilise youth towards participation in the 2011 elections.
@eienigeria (imetosha sasa basi naijeria) ni muungano wa wa-naijeria vijana wanaofanya kazi ya kuhamasisha ushiriki wa vijana katika uchaguzi wa mwaka 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
apart from raising public awareness, the coalition will submit the signatures collected from the online petition to the hong kong government and hasarranged a meeting with the agriculture, fisheries and conservation department to discuss their petition to destroy the stockpiles of confiscated ivory.
mbali na kukuza uelewa wa jamii, muungano huo utawsilisha saini zilizokusanywa kutokana na tamko la mtandaoni kwa serikali ya hong kong na umeandaa mkutano na idara ya kilimo, uvuvi na hifadhi kujadili tamko lao la kuteketezwa kwa shehena ya pembe za ndovu zilzokamatwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
norman finkelstein, author of the holocaust industry and 'dreamer' of the march, was initially an active member of the coalition, but has since resigned.
norman finkelstein, mwandishi wa the holocaust industry na ‘aliyeyaota’ maandamano mwanzoni alikuwa mwanachama hai wa wa muungano huo, lakini amejiuzulu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it grew out of the pop!tech accelerator program and brings together an international coalition of partners, including iteach, the praekelt foundation, frog design, nokia siemens networks and the national geographic society.
ulichipuka kutoka kwenye programu ya pop!tech accelerator na umewakusanya pamoja wadau wa kimataifa, wakiwemo itech, the praekelt foundation, frog design, nokia siemens networks na the national geographic society.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a campaign has been launched to end forced sterilisation in namibia: "a coalition of civil society organisations has called on namibians to join a campaign condemning the sterilisation of women living with hiv without their informed consent."
kampeni ya kukomesha chanjo kwa kulazimishwa nchini namibia imezinduliwa: “ umoja wa asasi za kijamii umetoa wito kwa wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na vvu bila ya ridhaa yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting