From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
god is cognisant of everything.
na mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
god is cognisant of all that you do.
na mwenyezi mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their lord is best cognisant of them."
mola wao mlezi anawajua vyema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
we are surely cognisant of what you do.
hakika mimi ni mjuzi wa mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
god is indeed cognisant of things they do.
hakika mwenyezi mungu anajua wanayo yafanya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
god is surely cognisant of good things that you spend.
na kheri yoyote mnayo toa, basi kwa yakini mwenyezi mungu anaijua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
have fear of god, and remember, god is cognisant of everything.
na mcheni mwenyezi mungu, na jueni kwamba hakika mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
yet if you do good and fear god, god is cognisant of all that you do.
na mkifanya wema na mkamchamngu basi hakika mwenyezi mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we are cognisant of what they say; but it is not for you to compel them.
sisi tunajua kabisa wayasemayo. wala wewe si mwenye kuwatawalia kwa ujabari.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
each soul will be paid in full for what it had done. he is cognisant of what you do.
na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na yeye anayajua sana wanayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if they wish to have a settlement then god will reconcile them, for god is all-knowing and cognisant.
wakitaka mapatano mwenyezi mungu atawawezesha. hakika mwenyezi mungu ni mjuzi mwenye khabari.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
o believers, when believing women come over to you as refugees, then examine them. god alone is cognisant of their faith.
enyi mlio amini! wakikujilieni wanawake waumini walio hama, basi wafanyieni mtihani - mwenyezi mungu ndiye mwenye kujua zaidi imani yao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
god is cognisant of what every female carries in her womb, or what the wombs want or exceed (of their disburdening time).
mwenyezi mungu anajua mimba abebayo kila mwanamke, na kinacho punguka na kuzidi matumboni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so follow not the behests of lust lest you swerve from justice; and if you prevaricate or avoid (giving evidence), god is cognisant of all that you do.
basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu. na mkiupotoa au mkajitenga nao basi mwenyezi mungu anajua vyema mnayo yatenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i do not claim to be an angel, nor can i say that god will not bestow any good on those you disdain, for god is cognisant of what is in their hearts. if i say this, i will surely be unjust."
wala siwasemi wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa mwenyezi mungu hatawapa kheri - mwenyezi mungu anajua yaliomo katika nafsi zao - hapo bila ya shaka ninge kuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting