Ask Google

Results for collaborate translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

This is definitely worthwhile, let's all collaborate so it all might look better.

Swahili

Hii kwa kweli inafaa, sote tushirikiane ili mambo yawe bora zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

In response, Nigerien armed forces have joined neighboring military groups to collaborate a counterattack on Boko Haram.

Swahili

Kufutia tukio hili, wanajeshi wa Nigeria waliungana na majeshi ya nchi nyingine za jirani katika kukabiliana na kundi la Boko Haram.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Other organisations, such as Search for Common Ground, will collaborate with these initiatives to strengthen the communities in vulnerable areas.

Swahili

Mashirika mengine kama vile Search for Common Ground nalo litashiriki katika miradi kama hii ili kuboresha hali za wanajamii walio katika maeneo hatarishi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

According to Paula Góes and Diego Casaes, its creators - who met via Twitter and now collaborate on Global Voices Online, the project is to promote critical and active citizenship, that challenges some of the arcane and undemocratic practices mentioned above.

Swahili

Kwa mujibu wa waanzilishi, Paula Goes na Diego Casaes – ambo walikutana kwenye Twita na ambao hivi sasa wanashirikiana kwenye mradi wa Global Voices Online, mradi huo una nia ya kukuza uraia hai na wenye jicho la uchunguzi, uraia ambao unachabanga baadhi ya mazoea yasiyo ya kidemokrasia na yasiyoeleweka kama ilivyoelezwa hapo juu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

All this week in Washington, DC, the Transformational Media Institute will convene a summit that brings together “changemakers, storytellers, and media professionals” from all over the world “to collaborate for good.”

Swahili

Wiki yote hii jijini Washington, DC, Taasisi ya Transformational Media itafanya mkutano unaowaleta pamoja “waleta mabadiliko, waandishi na wataalam wa vyombo vya habari” kutoka duniani kote “kushirikana kwa nia njema”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK