Ask Google

Results for come, holy spirit, come translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

holy spirit

Swahili

roho mtakatifu

Last Update: 2014-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

Lord, messiah, pour out your holy spirit into us

Swahili

mohadi messiah tshela

Last Update: 2017-01-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We gave Jesus, son of Mary clear signs, and strengthened him with the holy spirit.

Swahili

Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We gave Jesus, son of Mary, clear signs and strengthened him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

To Jesus, the son of Mary, We gave the miracles and supported him by the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We gave authoritative proofs to Jesus, son of Mary, and supported him by the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And We gave Jesus son of Mary the clear signs, and confirmed him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Then We sent Jesus, son of Mary, with clear Signs and supported him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We gave Jesus son of Mary the clear miracles, and We strengthened him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And grieve not the holy Spirit of God, whereby ye are sealed unto the day of redemption.

Swahili

Msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu maana Roho huyo ni alama ya Mungu kwenu kwamba ninyi ni watu wake, na thibitisho kwamba siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

And We gave Jesus son of Mary the clear proofs, and We supported him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Likewise We gave clear signs to Jesus, son of Mary, and supported him with the Holy Spirit.

Swahili

Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

He therefore that despiseth, despiseth not man, but God, who hath also given unto us his holy Spirit.

Swahili

Kwa hiyo basi, anayedharau mafundisho hayo hamdharau mtu, bali amdharau Mungu mwenyewe anayewapeni Roho wake Mtakatifu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Say, "The Spirit comes by the command of my Lord.

Swahili

Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

on that night, the angels and the Spirit come down by the permission of their Lord with His decrees for all matters;

Swahili

Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Say, the Holy Spirit has brought it down duly from your Lord to fortify those who have faith and as guidance and good news for the Muslims.

Swahili

Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Certainly, We gave Moses the Book and followed him with the apostles, and We gave Jesus, the son of Mary, manifest proofs and confirmed him with the Holy Spirit.

Swahili

Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Say, the Holy Spirit has brought the revelation from thy Lord in Truth, in order to strengthen those who believe, and as a Guide and Glad Tidings to Muslims.

Swahili

Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Kony effectively became leader of the LRA in 1988, after cobbling it together from the remnants and other dregs of Alice Lakwena’s defeated Holy Spirit Movement.

Swahili

Kony alikuwa kiongozi rasmi wa waasi wa LRA mwaka 1988, baada ya kuwaunganisha masalia ya chama kilichokufa cha Alice Lakwena kiitwacho Holy Spirit Movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Say thou: the Holy Spirit hath brought it down from thy Lord with truth, that it may establish those who believe, and as a guidance and glad tidings unto the Muslims.

Swahili

Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK