Results for compensation translation from English to Swahili

English

Translate

compensation

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

excellent is the compensation for the workers.

Swahili

ni mwema ulioje huo ujira wa watendao, Â

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we want from you neither compensation, nor gratitude.

Swahili

hatutaki kwenu malipo wala shukrani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we would have given them from our presence a rich compensation.

Swahili

na hapo tunge wapa malipo makubwa kutoka kwetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do you ask for any compensation from them that they are burdened with want?

Swahili

au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

or are you asking them for some compensation so that they feel burdened with debt?

Swahili

au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

my compensation comes only from god, and he is witness over all things.”

Swahili

sina ujira ila kwa mwenyezi mungu. na yeye ni shahidi juu ya kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and if it should offer every compensation, it would not be taken from it.

Swahili

na ingatoa kila fidia haitokubaliwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and there is no blame upon you if you marry them when you have given them their due compensation.

Swahili

wala hapana makosa kwenu kuwaoa mkiwapa mahari yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so on that day the unjust will not benefit from their excuses, nor will anyone ask them for compensation.

Swahili

basi siku hiyo hautawafaa walio dhulumu udhuru wao, wala haitotakiwa toba yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say: "i do not ask any compensation of you for it, nor am i a specious pretender.

Swahili

sema (ewe mtume): sikuombeni ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

say, “i ask of you no compensation for it; it is just a reminder for all mankind.”

Swahili

sema: mimi sikuombeni ujira. haya hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

anyone who leaves his home, emigrating to god and his messenger, and then is overtaken by death, his compensation falls on god.

Swahili

na anaye toka nyumbani kwake kuhama kwa ajili ya mwenyezi mungu na mtume wake, kisha yakamfika mauti njiani basi umethibiti ujira wake kwa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if he belonged to a people with whom you have a treaty, then compensation should be handed over to his family, and a believing slave set free.

Swahili

na akiwa ni miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu na wao basi wapewe diya watu wake na akombolewe mtumwa muumini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and if they suckle your offspring whom they bore you, then give them due recompense, and graciously settle the question of compensation between yourselves by mutual understanding.

Swahili

na wakikunyonyesheeni, basi wapeni ujira wao, na shaurianeni kwa wema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and fear a day when no soul will suffice for another soul at all, and no compensation will be accepted from it, nor will any intercession benefit it, nor will they be aided.

Swahili

na iogopeni siku ambayo hatamfaa mtu mwenziwe kwa lolote, wala hakitakubaliwa kwake kikomboleo, wala maombezi hayatamfaa, wala hawatanusuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and be on your guard against a day when no soul shall avail another in the least neither shall any compensation be accepted from it, nor shall intercession profit it, nor shall they be helped.

Swahili

na iogopeni siku ambayo hatamfaa mtu mwenziwe kwa lolote, wala hakitakubaliwa kwake kikomboleo, wala maombezi hayatamfaa, wala hawatanusuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and compensate them—the wealthy according to his means, and the poor according to his means—with a fair compensation, a duty upon the doers of good.

Swahili

lakini wapeni cha kuwaliwaza, mwenye wasaa kadiri awezavyo na mwenye dhiki kadiri awezavyo - maliwaza kwa mujibu wa dasturi kuwa ni haki juu ya watendao mema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and be on your guard against a day when one soul shall not avail another in the least, neither shall intercession on its behalf be accepted, nor shall any compensation be taken from it, nor shall they be helped.

Swahili

na iogopeni siku ambayo mtu hatomfaa mtu kwa lolote, wala hayatakubaliwa kwake maombezi, wala hakitapokewa kikomboleo kwake; wala hawatanusuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the number of people detained for political views contrary to those of the ruling party increased, unabated police violence was reflected in the still high number of deaths and injuries caused by such violence, and the number of farmers whose land was expropriated without adequate compensation was on the rise.

Swahili

idadi ya watu waliotiwa kizuizini kwa kutoa maoni ya kisiasa yaliyo kinyume na wale wa chama tawala iliongezeka sambamba na kuongezeka kwa ukatili wa polisi uliodhihirishwa na idadi kubwa ya vifo na majeruhi unaosababishwa na vurugu, na idadi ya wakulima ambao walinyang'anywa ardhi yao bila fidia ya kutosha nayo iliongezeka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and fear the day (of judgement) when no person shall avail another, nor shall compensation be accepted from him, nor shall intercession be of use to him, nor shall they be helped.

Swahili

na iogopeni siku ambayo hatamfaa mtu mwenziwe kwa lolote, wala hakitakubaliwa kwake kikomboleo, wala maombezi hayatamfaa, wala hawatanusuriwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,182,343,172 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK