Results for components translation from English to Swahili

English

Translate

components

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

main components of computer in swahili

Swahili

swahili

Last Update: 2024-05-14
Usage Frequency: 2
Quality:

English

stir slowly to extract the active components

Swahili

koroga polepole ili kutoa vipengele amilifu

Last Update: 2022-01-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in the video, it is virtually impossible to identify the key components of the aircraft amid the debris.

Swahili

katika video hiyo, si rahisi kutambua sehemu yoyote ya ndege hiyo kwenye mabaki hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it would also be intriguing to characterize the mechanism of actions and clarify the effective components of tcm treatments or their combinations if possible.

Swahili

itakuwa ni jambo la kuvutia kuzipa sifa taratibu za hatua na kuweka wazi viambajengo faafu vya matibabu ya tcm au ujumuishaji wavyo ikiwezekana.

Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

water alone is an inefficient skin cleanser because fats and proteins, which are components of organic soil, are not readily dissolved in water.

Swahili

maji pekee hayana uwezo wa kusafisha ngozi kwa sababu mafuta na protini, ambazo ni vijenzi vya udongo wa kikaboni, haziyeyushwi kwa urahisi katika maji.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

however, its effects largely rely on a combination of multiple components in a formula that varies depending on the diagnosis of a disease based on the theories of tcm.

Swahili

hata hivyo, athari zake zinategemea pakubwa ujumuishaji wa viambajengo vingi kwenye fomula inayotofautiana kwa kutegemea uchunguzi wa ugonjwa kulingana na nadharia za tcm.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this extended surveillance comprises of five components: (1) recording in medical records of anyone suspected to have or who has been exposed to covid-19.

Swahili

uchunguzi huu ulioendelezwa unajumuisha sehemu tano: (1) kurekodi kwenye rekodi za kimatibabu mtu yeyote anayeshukiwa kuwa au ambaye amekuwa hatarini kupata covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on the contrary, the right to security is an integral component of the universal declaration of human rights (article 22) and an important part of the millenium development goals (mdg), as conceived by the united nations.

Swahili

kinyume na matarajio, haki ya kuhakikishiwa hifadhi ni kipengele muhimu katika tamko la kimataifa la haki za binadamu (ibara ya 22) na sehemu yenye unyeti katika of the utekelezaji wa malengo makuu ya kimaendeleo ya milenia (mdg), yaliyobuniwa na umoja wa mataifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,719,489,964 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK