Results for compound translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

consecrate the compound

Swahili

kuweka wakfu kiwanja

Last Update: 2023-01-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

my school compound is very big

Swahili

eneo la shule yangu ni kubwa sana

Last Update: 2022-08-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

protests outside the un compound turned violent earlier this week as residents of goma hurled rocks at the compound in frustration.

Swahili

maandamano nje ya boma la umoja wa mataifa yaligeuka kuwa ghasia mwanzoni mwa juma wakati wenyeji wa mji wa goma waliporusha mawe kwenye boma hilo kutokana na kukata tamaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

these generally constitute tests designed to determine the major toxicities of a novel compound prior to first use in humans.

Swahili

kwa jumla hii inahusisha vipimo vilivyobuniwa kubainisha sumu kuu katika mchanganyiko mpya kabla ya matumizi ya kwanza katika binadamu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

edom (left) and mahlet being escorted to the courtroom inside the compound of high court in addis ababa.

Swahili

edom (kushoto) akiwa na mahlet akisindikizwa kwenye chumba cha mahakama ndani ya viunga vya mahakama kuu jijini addis ababa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

drug development is the process of bringing a new infectious disease vaccine or therapeutic drug to the market once a lead compound has been identified through the process of drug discovery.

Swahili

utengenezaji wa dawa ni mchakato wa kuleta chanjo au dawa ya matibabu ya ugonjwa unaoambukiza kwenye soko punde kemikali kuu inapotambuliwa kupitia mchakato wa kugundua dawa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

this morning samantha is giving another update on the situation, including a few photos from the compound where she's staying:

Swahili

asubuhi hii samantha anatoa habari mpya kuhusu hali ilivyo, pamoja na picha chache kwenye boma anamoishi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the group prepared to leave, they were confronted in the compound by nyongesa, who is believed to belong to the camp of john kamau, one of the two kenyans in the guild race.

Swahili

wakati kundi hilo lilipojiandaa kuondoka, lilibabatizwa na nyongesa ambaye inaaminika kuwa yumo katika kambi ya john kamau, mmoja wa wakenya wawili waliokuwa kwenye mbio za uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in srirangam, i saw them urinating on the compound wall of the temple even though every street surrounding the temple had toilets, which were clean, but pay toilets!"

Swahili

kule srinagam, nimewahi kuwaona wakikojoa kwenye ukutra wa boma la hekalu pamoja na kuwa kila mtaa unaolizunguka hekalu una vyoo, ambavyo vilikuwa visafi, lakini vya kulipia!”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

my mum would usually get very thin branches that had fallen off the trees in our compound and my dad would get the thick ones, sometimes we would be sent to get them ourselves, and we would be given a few lashes on the calves of our legs.

Swahili

mama kwa kawaida alikuwa akiokota fimbo nyembamba zilivyoanguka kutoka kwenye miti iliyokuwa ndani ya boma letu na baba alikuwa akiokota zile kubwa, wakati mwingine tulitumwa kwenda kuzileta sisi wenyewe, na tulikuwa tunachapwa kwenye sehemu ya viazi nyuma ya ugoko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a dynamic, systematic review was established in april 2020 to track the progress of registered clinical trials for covid-19 vaccine and therapeutic drug candidates.vaccine and drug development is a multistep process, typically requiring more than five years to assure safety and efficacy of the new compound.

Swahili

uhakiki changamani, wa kimfumo ulianzishwa mnamo aprili 2020 kufuatilia maendeleo ya majaribio yaliyosajiliwa ya kimatibabu ya chanjo ya covid-19 na dawa zilizoteuliwa za matibabu. utengenezaji wa chanjo na dawa ni mchakato uaohusisha hatua nyingi, unaohitaji kwa kawaida zaidi ya miaka mitano ili kuhakikisha usalama na kemikali mpya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,166,755,094 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK