From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
if one resolves to perform the pilgrimage in these months, let him not indulge in concupiscence, sin or quarrel.
na anaye kusudia kufanya hija katika miezi hiyo, basi asiseme maneno machafu wala asifanye vitendo vichafu wala asibishane katika hija.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but sin, taking occasion by the commandment, wrought in me all manner of concupiscence. for without the law sin was dead.
kwa kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. maana, bila sheria dhambi ni kitu kilichokufa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mortify therefore your members which are upon the earth; fornication, uncleanness, inordinate affection, evil concupiscence, and covetousness, which is idolatry:
basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: