From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
constitute
wanaunda
Last Update: 2022-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
while naeem felt that the amount of south african voters that are on twitter constitute a very small minority.
wakati naeem alihisi kwamba idadi ya waafrika kusini wanaotumia huduma ya twita ni ndogo sana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
coronaviruses constitute the subfamily orthocoronavirinae, in the family coronaviridae, order nidovirales, and realm riboviria.
virusi vya korona vinaunda famlia ndogo ya orthocoronavirinae, katika familia ya coronaviridae, nidovirales, na realm riboviria.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these generally constitute tests designed to determine the major toxicities of a novel compound prior to first use in humans.
kwa jumla hii inahusisha vipimo vilivyobuniwa kubainisha sumu kuu katika mchanganyiko mpya kabla ya matumizi ya kwanza katika binadamu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if such demographic dynamics persist, in a few years immigrants, mostly from asia, would constitute the majority of the ukrainian people.
kama kutakuwa na mabadiliko ya kitakwimu ya aina hii, kwa miaka michache ijayo, wahamiaji, hususani kutoka bara la asia, wataongezeka kwa kiwango kikubwa kabisa katika nchi ya ukraine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(b) to prohibit homosexual behavior and related practices in uganda as they constitute a threat to the traditional family;
(b) kuzuia tabia za kishoga na vitendo vinavyohusiana nchini uganda kwa sababu vinatishia familia za kitamaduni;
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however he said the weapon is not the kind used by police, and made it clear that the police's actions did not constitute repression, that they only wanted to bring order.
hata hivyo alisema kuwa bunduki hiyo haifanani na zile zinazotumiwa na polisi, na aliweka wazi kuwa matendo ya polisi hayakuwa ya kikandamizaji na kuwa walitaka kuleta utulivu tu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
their arrest and detention constitute a violation of their universal human right to free expression, and their right not to be arbitrarily detained, as protected by article 6 of the african charter on human and peoples’ rights.
kukamatwa kwao kimsingi ni uvunjwaji wa haki za kimataifa zinazomlinda raia kujieleza, na haki yao ya kutokuteswa wakiwa chini ya ulinzi, kama ibara ya 6 ya makubaliano ya afrika inavyotamka kuhusiana na masuala ya haki za binadamu na makundi ya watu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
what constitutes a bill of exchange
nini maana ya bill of exchange
Last Update: 2016-09-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: