Results for contemporary translation from English to Swahili

English

Translate

contemporary

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the list is a collection of some of the most outstanding opus from (mostly) contemporary francophone authors.

Swahili

orodha hii imekusanywa kutoka kwenye kazi bora zaidi za hivi karibuni kutoka kwa waandishi hao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to be a contemporary tanzanian at the moment is to be a person of great potential unclear about what the future holds for him.

Swahili

kuwa mtanzania wa kisasa siku hizi ni kuwa mtu wa usiye na uhakika na vile mustakabali wako ulivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

that is, any suspect can be locked up here, and in contemporary ukraine it absolutely does not mean that one has to be a real criminal.

Swahili

ndiyo kusema, yeyote anayeshukiwa kwa lolote anaweza kutupwa ndani yake, na katika ukraine ya sasa, haina maana kwamba mtu huyo lazima awe mhalifu wa kweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

susan thomson, a professor of contemporary african politics at hampshire college in the u.s., wrote in an article published on academic publication hub cairn.info:

Swahili

susan thomson, profesa wa stadi za siasa za afrika kwenye chuo cha hampshire nchini marekani, aliandika kwenye makala haya yaliyochapishwa kwenye mtandao wa machapisho ya kitaaluma wa cairn.info:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in mid-2009 another blog-based magazine project went live: zafra lit, which translates short fiction by contemporary cuban writers into english.

Swahili

katikati ya mwaka 2009, mradi wa gazeti lingine la mtandaoni ulizinduliwa: zafra lit, hili hutafsiri hadithi fupifupi zilizoandikwa na waandishi wacuba kwenda katika kiingereza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

unless we stop, doubtful in contemporary circumstances, elected public figures and their surrogates from stealing public funds, all talk about raising living standards is nothing but old colonial school colonial talk under the skin of the guy next door.

Swahili

tusipochukua hatua za kuwazuia watu waliochaguliwa na wananchi na wasaidizi wao, hali ilivyo kwa sasa inatia wasiwasi sana, mazungumzo yote ya namna ya kupandisha hali za maisha ya watu hayatakuwa na maana yoyote na yatakuwa porojo za kikoloni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

each of us appreciates art in one form or another, but we are turned off by the 'elite' who decided to complicate art by using labels such as 'surreal', 'new age' and 'contemporary'.

Swahili

kila mmoja wetu anapenda sanaa kwa namna mmoja ama nyingine, lakini tunazimwa na “wasomi” walioamua kuifanya sanaa iwe ngumu kwa kutumia nembo kama ‘surreal’, ‘enzi mpya’ na ‘uleo’.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,449,633 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK