From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
i do not understand this fixation of a term limit for an elected office.if the people opt for continuity why deny them their choice.
sielewi hizi porojo za ukomo wa madaraka. kama watu wataamua uelendelee kwa nini uwakatalie wanachokitaka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"kgalema motlanthe, while stating a desire to pursue continuity, has got rid of some of mbeki’s more controversial ministers.
“ingawa kgalema motlanthe ameahidi kutoleta mabadiliko makubwa, bado ameatosa baadhi wa mawaziri wenye utata mkubwa waliokuwa kwenye serikali ya mbeki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
to protect public health, i as state public health officer and director of the california department of public health order all individuals living in the state of california to stay home or at their place of residence except as needed to maintain continuity of operations of the federal critical infrastructure sectors, as outlined at https://www.cisa.gov/critical-infrastructure-sectors.
ili kulinda afya ya umma, mimi kama afisa wa adya ya umma wa jimbo na mkurugenzi wa idara ya afya ya umma ya california ninaamrisha watu wote wanaoishi katika jimbo la california wakae nyumbani au katika makao yao isipokuwa kama inavyohitajika ili kudumisha kuendelea kwa shughuli za sekta kuu muhimu za muundomsingi, kama ilivyoelezewa katika https://www.cisa.gov/critical-infrastructure-sectors.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: