Results for contributors translation from English to Swahili

English

Translate

contributors

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

most of radio zamaneh's contributors were, and still are, bloggers.

Swahili

wengi wa wachangiaji wa redio zamaneh walikuwa na bado ni mabloga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in fact, one of our contributors thinks we could use more people poking fun at us.

Swahili

kwa hakika, mmoja wa wanahabari wetu anafikiri kuwa tunaweza kuwatumia vizuri wale watu wanaotukejeli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as ever, thanks to all of our contributors, producers and music makers who help to make this happen.

Swahili

kama ilivyo desturi, nawashukuru wachangiaji, wazalishaji na watunga nyimbo waliosaidia kufanya warsha ifaulu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on october 16, we will list the posts from global voices contributors around the world – stay tuned!

Swahili

mnamo oktoba 16, tutaorodhesha makala kutoka kwa waandishi wa global voices duniani kote – kaa mkao wa kula!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the #gv2012 summit is a place to meet and find out more about our authors, editors and contributors who travelled from all corners of the world.

Swahili

mkutano wa sauti za dunia ni mahali pa kupatanika na kufahamu mengi zaidi kuhusu wahariri, waandishi na wachangiaji wengine waliosafiri kutoka kila kona ya dunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

global voices has been there as revolutions happened, dictatorships fell, and network effects rippled through the cities and neighborhoods of our contributors reporting from around the world.

Swahili

global voices imekuwepo pale wakati mapinduzi yalipotokea, wakati tawala za kidikteta zikianguka, na matokeo ya matumizi ya mtandao yaliposambaa katika miji na mitaa ya wachangiaji wetu wanaoripoti kutoka duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

next to post on blog action day was the african women’s development fund (awdf) whose contributors are awdf, bisi and roselyn.

Swahili

makala iliyofuata wakati wa siku ya kublogu kwa vitendo duniani ilikuwa ni mfuko wa maendeleo ya wanawake wa afrika (awdf) ambao wachangiaji ni bisi na roselyn wa awdf.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

global voices itself won a bobs award in 2005, but many of the current and former contributors to this website are featured in this year's bobs for their activities outside global voices.

Swahili

global voices ilishinda tuzo hiyo mwaka 2005, lakini wengi wa waandishi wa zamani na sasa wa global voices wanashiriki katika shindano hili mwaka huu kupitia shughuli zao nje ya global voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

abdoulaye bah, global voices contributor and author of the konakry express blog has launched a petition to ask pope francis to take action against african dictators.

Swahili

abdoulaye bah, mchangiaji wa global voices na mwanablogu wa konakry express ameanzisha ombi la mtandaoni kumwomba papa francis kuchukua hatua dhidi ya madikteta wa afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,155,992,210 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK