Results for convince translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

convince

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

this explanation didn't convince many.

Swahili

ufafanuzi huu haukuwashawishi watu wengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you won't be able to convince me that this is ok.

Swahili

hutaweza kunishawishi kwamba hiyo ni sahihi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

try to convince yourself. have some confidence in yourself or hype yourself up about something

Swahili

jichoche

Last Update: 2023-05-30
Usage Frequency: 3
Quality:

English

let them put them on the agenda and convince the anc that we should not sing those songs and tell us why.

Swahili

hebu waliweke (suala hili) kwenye ajenda na wawashawishi anc kwamba tusiziimbe nyimbo hizo na watueleze kwa nini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in order to be successful, however, they must first find a way to convince citizens of their usefulness.

Swahili

ili kuwa na mafanikio, hata hivyo, kwanza ni lazima wapate njia ya kuwashawishi raia juu ya umuhimu wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but i only see nihilism in your approach which i find destructive and childish...could you convince me of the opposite?

Swahili

lakini ninachokiona kwenu ni ubeuzi tu kwenye mbinu mnayotumia ambayo kwangu naiona kama isiyo na faida yoyote na ni ya kitoto...mnaweza kunishawishi kinyume chake?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

lastly, i personally would do all i can to convince hubby and our sponsors to have u play the lead role in our upcoming project.

Swahili

mwisho, mimi binafsi nitafanya kila ninaloweza kumshawishi mume wangu na wadhamini wetu ili wewe ushike nafasi ya mhusika mkuu katika mradi tunaoupanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are going to try to convince you that it is necessary to act fast and take our problems seriously, and we are going to denounce everything that imposes obstacles for this.

Swahili

tutajaribu kuwashawishi kwamba ni muhimu kuchukua hatua ya haraka na kuchukulia matatizo yetu kwa umakini zaidi, na tutakemea kila kitu kitachoweka vikwazo kwa hili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

from day one, the regime was trying to convince people that this is not a revolution-it’s just terrorists or an islamic movement against you.

Swahili

tokea siku ya kwanza, utawala ulijaribu kuwashawishi watu kuwa haya hayakuwa mapinduzi, ni magaidi tu au harakati tu za kiislam dhidi yenu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

doctor father ran away was not a good idea to give your son a phone because your boy is still a student at first but also his thinking is down. directly affecting his studies direct but also his usual form of growth often young people like these are easy to convince.

Swahili

doctor baba otimbi haikuwa jambo sahihi kumpatia mwanao simu kwa sababu kijana wako bado ni mwanafunzi kwanza lakini  pia bado hata kufikiri kwake kupo chini mara nyingi unampo mpatia simu wakati bado ni mwanafunzi na bado hajakuwa vizuri kifikra kimaamuzi  mara nyingini rahisi kuingia katika mambo yasiyo sawasawa ambayo yanaweza moja kwa moja yakaathiri masomo yake moja kwa moja lakin pia hata namna yake ya kawaida ya ukuaji mara nyingi vijana kama hawa ni rahisi kushawishika kujiingiza kat

Last Update: 2020-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if their aversion is grievous unto thee, then, if thou canst, seek a way down into the earth or a ladder unto the sky that thou mayst bring unto them a portent (to convince them all)! - if allah willed, he could have brought them all together to the guidance - so be not thou among the foolish ones.

Swahili

na ikiwa ni makubwa kwako huku kukataa kwao, basi kama unaweza kutafuta njia ya chini kwa chini ya ardhi, au ngazi kwendea mbinguni ili uwaletee ishara -- na lau kuwa mwenyezi mungu angependa angeli wakusanya kwenye uwongofu. basi usiwe miongoni mwa wasio jua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,747,072,536 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK