Results for convinced translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

to be convinced

Swahili

feelings

Last Update: 2023-07-28
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i'm finally convinced

Swahili

mrembo mwishowe wangu najiamini

Last Update: 2024-05-10
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aye! they will not be convinced.

Swahili

bali hawana na yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and on earth are signs for the convinced.

Swahili

na katika ardhi zipo ishara kwa wenye yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i was convinced there could be a better way, a different way.

Swahili

nilishawishika kuwa kunaweza kuwepo njia nafuu, njia tafauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and on the earth there are signs for those who would be convinced.

Swahili

na katika ardhi zipo ishara kwa wenye yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and who is better than allah in judgement unto a people who are convinced?

Swahili

na nani aliye mwema zaidi katika kuhukumu kuliko mwenyezi mungu kwa watu wenye yakini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the officials claimed that the plant is harmless, but the residents were not convinced.

Swahili

pamoja na maafisa wa serikali kudai kuwa mradi huu hauna madhara, lakini wananchi bado hawajaridhika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and if you’re still not convinced, have a look at this passionate plea by the elders

Swahili

na kama bado hujashawishika, hebu tazama wito huu mtamu wa kutoka the elders

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they gainsaid them, out of spite and arrogance, although their souls were convinced thereof.

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they denied those signs out of iniquity and arrogance although their hearts were convinced of their truth.

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they persisted in rejecting them wrongfully and arrogantly, while in their hearts they were convinced of their truth.

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although people are keen to talk to me, they are rarely convinced to take an hiv test because they are scared.”

Swahili

ingawa watu wanahitaji sana kuongea nami, ni nadra sana kushawishika kuchukua vipimo vya vvu kwa sababu wanaogopa.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and in the creation of yourselves and of the beasts that he hath scattered over the earth, are signs unto a people who are convinced.

Swahili

na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo ishara kwa watu wenye yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they rejected them, while their [inner] selves were convinced thereof, out of injustice and haughtiness.

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we appointed, from amongst them, leaders guiding others by our command, when they had persevered, and of our signs they were convinced.

Swahili

na tukawafanya miongoni mwao waongozi wanao ongoa watu kwa amri yetu, walipo subiri na wakawa na yakini na ishara zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when the word shall come to be fulfilled concerning them, we shall bring forth a beast of the earth speaking unto them, that the people have not of our signs been convinced.

Swahili

na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea mnyama katika ardhi atakaye wasemeza, ya kuwa watu walikuwa hawana na yakini na ishara zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they denied them unjustly and proudly while their soul had been convinced of them; consider, then how was the end of the mischief-makers.

Swahili

na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo. basi angalia ulikuwaje mwisho wa mafisadi!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[moses] said, "the lord of the heavens and earth and that between them, if you should be convinced."

Swahili

akasema: ndiye mola mlezi wa mbingu na ardhi, na viliomo baina yao, ikiwa nyinyi ni wenye yakini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

of course the arabic public is convinced that starbucks in america gives annual donation to the idf due to the fact that founder and the owner of starbucks is a jew, to be honest this is not enough to draw a conclusion that the chain donates to the idf but news like that one makes the arab public thinks twice.

Swahili

umma wa waarabu unaamini kwamba starbucks ya marekani hulipatia jeshi la israeli, idf mchango wa mwaka kutokana na ukweli kwamba mwanzilishi wa starbucks ni myahudi, na nikitaka kuwa mkweli, ukweli huo hautoshi kufikia hitimisho kwamba kampuni hiyo hutoa michango kwa jeshi la israeli, lakini habari kama hizi zinaufanya umma wa waarabu kufikiri mara mbili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,418,409 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK