Results for credible translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the voters registration was a litmus test on inec unpreparedness to conduct a credible election.

Swahili

uandikishwaji wa wapiga kura ulikuwa ni jaribio la kuthibitisha ukosefu wa maandalizi wa tume (inec) katika kufanya uchaguzi unaoheshimika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the bloggers' attorney told afp that the charges have no "credible substance."

Swahili

mwanasheria wa wanablogu hao aliliambia shirika la habari la afp kwamba mashitaka hayo "hayana maaana yoyote."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

furthermore, the fact that there were no any reported cases of rigging, makes his win even more credible and even more and more wonderful.

Swahili

zaidi ya hapo, ukweli kwamba hapakuwepo na tuhuma zozote za wizi wa kura, kunaufanya ushindi wake uwe wa haki na wa kuvutia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he began by pointing out that he didn’t mean to cause disrespect to the ministry by starting a web discussion on pantip since it is a popular and credible website

Swahili

alianza kwa kusema kwamba halikuwa kusudio lake kujenga hisia za kutoiheshimu wizara hiyo kwa kuanzisha kwake majadiliano hayo ya mtandaoni katika pantip, hasa ukizingatia kwamba tovuti hiyo ni maarufu na yenye kuheshimika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if indeed our electoral commission really wants a more reliable and credible system of voting in ghana, then i think the commission should have spearheaded the ideas highlighted above.

Swahili

kama kweli tume yetu ya uchaguzi inataka mfumo wa upigaji kura unaoaminika na wenye sifa nchini ghana, basi nadhani tume ni lazima iongoze mawazo yaliyowekwa hapo juu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

my point is gambia like any nation has right to withdraw from any association or organization but is should be based on credible and genuine reason (s).

Swahili

mantiki yangu ni kwamba gambia kama taifa lingine lolote ina haki ya kijitoa kutoka kwenye umoja au shirika lolote lakini iwe hivyo kwa sababu zenye uzito na za kweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

its sad to see that just because the father is president he has no right to own such a car,if a person like me owns such nobody would know whats happening,i this this publication along with some of the people that comment should show maturity in the way they discus matters of national interest.normally you read very lousy comments that don’t make sense at all and just because people have an audience every jim and jack thinks they have news .this man who calls himself a leader of this ngo that i have heard of today for the first time will just bring stories that he probably was discussing with friends in the bar and of course this paper thinks everything is right without credible sources .shame!!!

Swahili

inahuzunisha kuona kwamba kwa sababu tu baba ni rais basi hana haki ya kumiliki gari kama hilo, kama mtu kama mimi ninamiliki (gari la aina ile) na hakuna mtu angeweza kujua kinachoendelea, nadhani wamiliki wa wavuti hii pamoja na watu wanaotoa maoni yao hapa waonyeshe kukomaa katika namna wanavyojadili masuala yenye maslahi ya taifa. kwa kawaida unajikuta unasoma maoni yanayochefua ambayo hayaleti maana kabisa na kwa sababu tu watu wanayo hadhira basi kila akina jim na jack wanadhani wana habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,647,120,973 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK