From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this is crucial time for buganda leadership too.
huu ni wakati muhimu kwa uongozi wa buganda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
presenting a balance depiction of africa is crucial.
kuonyesha taswira zenye mizani iliyolingana ni jambo muhimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
those are going to be crucial questions in the next few months.
hayo ni maswali ya msingi katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a public feedback to zambians is crucial just like his own son, mulenga.
mrejesho wa wazi kwa wa-zambia ni wa muhimu kama ilivyo kwa mwanae, mulenga.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the next few weeks are crucial whether the election would go ahead as planned.
wiki chache zijazo ni za muhimu kama uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but brown mpinganjira must go on to accept that crucial political truths in malawi start as rumours.
lakini brown mpinganjira ni lazima akubali kwamba ukweli wa kisiasa katika malawi huanza kama uzushi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
according to the report, latin america is going through a crucial moment for freedom of expression.
kwa mujibu wa ripoti, amerika ya kusini iko katika wakati muhimu kwa uhuru wa kujieleza.
Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:
the malawi defence played a crucial role, general odillo chaired a meeting with military chiefs and unanimously agreed follow the constitution.
jeshi la malawi lilifanya kazi ya muhimu sana, jenerali odillo aliongoza mkutano na viongozi wa jeshi na kwa kauli moja walikubali kufuata katiba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
despite this, the communications team at eleitor 2010 has generated some media attention, and networking with other online transparency initiatives has been crucial.
pamoja na hayo, timu ya mawasiliano ya eleitor 2010 imeweza kuvivutia vyombo vya habari, na ushirikiano na miradi mingine ya uwazi kwenye mtandao umekuwa ni wa muhimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
i hope president obama is not over-calculating his chances for comprehensive immigration reform later this year by appeasing the fair constituency on this crucial humanitarian issue.
natumaini rais obama hatumii jambo hili kupima fursa zake za kuleta mageuzi makubwa katika mfumo wa uhamiaji baadaye mwaka huu kwa kuwafurahisha fair kuhusu jambo hili lenye umuhimu wa pekee katika masuala ya kiutu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a crucial point is that president museveni has never been an outspoken supporter of the bill, instead being rather dubious about it: he was fully aware of the disastrous international consequences.
pointi muhimu ni kuwa rais museveni hajawahi kuwa shabiki mkubwa wa muswada huu na badala yake amekuwa mtu wa kuutilia mashaka: alikuwa anafahamu matokeo mabaya kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nelson mandela, the first black president of south africa who played a crucial role in that country's dismantling of apartheid, died on thursday, december 5, 2013 at the age of 95.
nelson mandela, rais wa kwanza mweusi wa afrika kusini aliyehusika kwa kiasi kikubwa katika mapambano ya kuubomoa ukaburu, alifanriki alhamisi, decemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 95.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
crucial will be how these attacks will be framed in the next few hours and especially how the kenyan state will respond (already they’ve blamed the judiciary and in the past they’ve round up somalis despite little evidence).
tusichokijua ni namna gani mashambulizi haya yataelezewa ndani ya masaa machache yajayo na namna gani serikali ya kenya itashughulikia janga hili (tayari wanalaumu mahakama na siku za nyuma waliwahusisha wa-somali pamoja na kuwa na ushahidi mdogo).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: