From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and it was the third hour, and they crucified him.
ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
as for the other, he will be crucified and birds will eat of his head.
na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the thieves also, which were crucified with him, cast the same in his teeth.
hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and they that are christ's have crucified the flesh with the affections and lusts.
wale walio wa kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
for i determined not to know any thing among you, save jesus christ, and him crucified.
nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua yesu kristo; naam, kristo aliyesulubiwa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
but we preach christ crucified, unto the jews a stumblingblock, and unto the greeks foolishness;
lakini sisi tunamhubiri kristo aliyesulubiwa. kwa wayahudi jambo hili ni kikwazo, na kwa watu wa mataifa ni upumbavu;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and how the chief priests and our rulers delivered him to be condemned to death, and have crucified him.
makuhani na watawala wetu walimtoa ahukumiwe kufa, wakamsulubisha.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and when they had crucified him, they parted his garments, casting lots upon them, what every man should take.
basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
my fellowprisoners, one of you will pour wine for his lord whereas the other will be crucified, and birds will peck at his head.
enyi wafungwa wenzangu wawili! ama mmoja wenu atamnywesha bwana wake mvinyo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
which none of the princes of this world knew: for had they known it, they would not have crucified the lord of glory.
ni hekima ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha bwana wa utukufu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and the angel answered and said unto the women, fear not ye: for i know that ye seek jesus, which was crucified.
lakini yule malaika akawaambia wale wanawake, "ninyi msiogope! najua kwamba mnamtafuta yesu aliyesulubiwa.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and their dead bodies shall lie in the street of the great city, which spiritually is called sodom and egypt, where also our lord was crucified.
maiti zao zitabaki katika barabara za mji mkuu ambapo bwana wao alisulubiwa; jina la kupanga la mji huo ni sodoma au misri.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
o fellow-prisoners, one of you will serve wine to your master, the other will be crucified and the birds will peck at his brain.
enyi wafungwa wenzangu wawili! ama mmoja wenu atamnywesha bwana wake mvinyo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as for one of you, he will pour out wine for his lord to drink; and as for the other, he will be crucified so that the birds will eat from his head.
ama mmoja wenu atamnywesha bwana wake mvinyo. na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"fellow-prisoners, your dreams tell that one of you will serve wine to his master and the other will be crucified and his head consumed by the birds.
enyi wafungwa wenzangu wawili! ama mmoja wenu atamnywesha bwana wake mvinyo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the only proper recompense for those who fight against god and his messenger and try to spread evil in the land is to be killed, crucified, or either to have one of their hands and feet cut from the opposite side or to be sent into exile.
basi malipo ya wale wanao mpiga vita mwenyezi mungu na mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
fellow-prisoners, as for one of you, he shall pour wine for his lord; as for the other, he shall be crucified, and birds will eat of his head.
ama mmoja wenu atamnywesha bwana wake mvinyo. na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and for their saying: verily we have slain the messiah 'isa son of maryam, an apostle of allah, whereas they slew him not, nor they crucified him but it was made dubious unto them.
na kwa kusema kwao: sisi tumemuuwa masihi isa, mwana wa maryamu, mtume wa mwenyezi mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and because of their saying (in boast), "we killed messiah 'iesa (jesus), son of maryam (mary), the messenger of allah," - but they killed him not, nor crucified him, but the resemblance of 'iesa (jesus) was put over another man (and they killed that man), and those who differ therein are full of doubts.
na kwa kusema kwao: sisi tumemuuwa masihi isa, mwana wa maryamu, mtume wa mwenyezi mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting