From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the internet was also blamed for the instant dissemination of the sex tapes which prodded lawmakers to craft a cybercrime bill.
mtandao wa intaneti pia ulilaumiwa kwa kusambaza papo kwa papo kanda za hizo za ngono na hivyo watunga sheria kuamua kupitisha mswaada wa makaosa ya kimtandao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
filipino activists are worried that the cybercrime bill would now make it unlawful to publish or upload materials that contradict the official state interpretation of what is decent, moral, and proper.
wanaharakati wa kifilipino wana mashaka kuwa muswaada wa uhalifu wa mtandaoni sasa unaweza kufanya kuwa kinyume cha sheria kuchapisha au kupakia maudhui yaliyo kinyume cha tafsiri ya serikali ya vitu vyenye heshima, maadili na sawa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in cambodia, the government is proposing to establish a state-run exchange point to control all local internet service providers which is intended to strengthen internet security against pornography, theft and other cybercrimes.
huko kambodia, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa kituo cha taifa cha usambazaji ili kudhibiti watoa huduma za intaneti, kituo hicho kina nia ya kuimarisha usalama wa kwenye mtandao dhidi ya picha za ngono, wizi pamoja na uhalifu mwingine wa kwenye mtandao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: