Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
this blog provides curiosities, cynicism, and commentary.
blogu hii inakuletea udadisi na maoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it also showed commercialization and excessive cynicism of some of the popular russian bloggers.
vilevile ulionyesha jinsi maslahi binafsi ya kibiashara pamoja na mtizamo taharuki uliopita kiasi wa baadhi ya wanablogu maarufu wa urusi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
regardless of the cynicism, there has been renewed vigor among the people of my generation regarding the 2011 elections.
bila kujali mashaka yaliyopo, kumekuwa na mwamko mpya kati ya watu wa kizazi changu juu ya uchaguzi wa 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
when uk firm tullow oil announced its discovery of 600 million barrels of oil in ghana in 2007, the blogosphere responded with variegated tones of hope and cynicism.
wakati kampuni ya mafuta ya uingereza tullow oil ilipotangaza uvumbuzi wake wa kiasi cha mapipa milioni 600 ya mafuta nchini ghana mwaka 2007, ulimwengu wa wanablogu uliitikia kwa maoni yanayotofautina juu ya matumaini na hali ya kuchelea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
from joy to skepticism, and sarcasm to cynicism, netizens broke down the cables related to the middle east and north africa, sparking discussions, questioning motives and seeking answers.
kuanzia furaha mpaka kutia shaka, na kejeli mpaka hisia hasi, wananchi wa mtandaoni waliyapanga mawasiliano yanayohusiana na mashariki ya kati na afrika kaskazini, na kuwasha cheche za majadiliano, huku wakihoji nia na kutafuta majibu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there is evidence that members of the guatemalan army were carrying guns, although the minister of interior has denied it, arguing that the peasants killed each other, as mario rodríguez explains in his blog post "declarations full of cynicism" .
kuna ushahidi kuwa wanachama wa jeshi la guatemala walibeba bunduki, pamoja na kuwa waziri wa mambo ya ndani hakukukubaliana na taarifa hii akisema kuwa wakulima waliuana wenyewe kwa wenyewe kama mario rodríguez anavyoelezea katika makala kwenye blogu yake " matamko yenye ushawishi binafsi" .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting