From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
dancehall
genge tone
Last Update: 2022-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
not all of our dancehall/reggae music is less than desirable.
siyo miziki yetu yote ya dancehall/reggae isiyovutia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
outspoken jamaican blogger, agostinho, published on his blog a letter he submitted to the editors of various local media in which he discusses the need for dancehall to revamp its image.
bloga wa kijamaika mwenye siasa kali, agostinho, alichapisha katika blogu yake barua aliyoiwasilisha kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari nchini humo ambamo alijadili haja ya muziki wa dancehall kubadili sura yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amidst cries of hypocrisy by several jamaican artistes who feel that dancehall is being unfairly singled out, madbull, a jamaican blogger in cayman, writes that he fully supports the ban and thinks it should be extended to any genre of music being considered for public airplay.
katikati ya vilio vya unafiki kutoka kwa wasanii wengi wa kijamaika ambao wanahisi kwamba mtindo wa dancehall pekee ndio unasakamwa, bloga wa kijamaika, madbull aliyeko huko cayman, anaandika kwamba anaunga mkono amri hiyo na anafikiri kuwa amri hiyo ienezwe na kuzuia mtindo wowote wa muziki unaotarajiwa kurushwa hewani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
another trend in these discussions is the issue of other musical genres besides dancehall (i.e. soca and calypso, hip hop, rap etc.), especially as jamaica enters its carnival season - a time when imported soca music takes centre stage across the island.
mwelekeo mwingine katika majadiliano haya yanahusu mitindo mingine ya muziki ukiachilkia mbali muziki wa dancehall (yaani, soca na calypso, hip hop, miziki ya kufoka n.k.), hasa kutokana na kwamba jamaika ndiyo inaingia kwenye msimu wa kanivali – kipindi ambacho miziki ya soca inachukua jukwaa la kati visiwani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: