From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
opposite of danger in swahili
opposite of danger in kiswahili
Last Update: 2022-09-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
better pass a danger once than always be in fear
usihesabu vifaranga kabla ya kuanguliwa
Last Update: 2023-01-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
is tanzania's peaceful reputation in danger? · global voices
je, sifa ya 'kisiwa cha amani' tanzania imeanza kutoweka?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
she is not totally out of danger, and a complete recovery will take sometime.
hivi sasa hayupo tena katika hatari ya kupoteza maisha kwa sababu ya shambulio lile, ingawa kupona kabisa kutachukua muda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
commenter ketudan considered the possibility that the blogger may be in danger of joining a cult.
msomaji mwingine ketudan aliona uwezekano wa mwanablogu huyo kujikuta katika hatari ya kujiunga na vikundi vya dini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after the opposition forces won bishkek, they confronted another serious danger: the looters.
baada ya vikosi vya upinzani kuwa na udhibiti kamili wa bishkek, walikabiliana na hatari nyingine kubwa zaidi, yaani, unyang'anyi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i believe this is what chimamada adichie meant about the danger of a single story lecture she gave at ted.
ninaamini kuwa hivi ndivyo adichie alivyomaanisha katika hotuba ya hatari ya simulizi moja aliyoitoa kwenye ted.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a warning sign hung beside the fence reads, "danger, don't come near."
alama ya tahadhari iliyoning'inia pembeni mwa uzioikisomeka, "hatari, usikaribie."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
but when danger appears you will find them looking at you with eyes turning like a man's in the swoon of death.
ikifika khofu utawaona wanakutazama na macho yao yanazunguka, kama yule ambaye aliye zimia kwa kukaribia mauti.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@brianlara: imran khan injured @ rally fell off stage... out of danger thank god!!
@brianlara: imran khan aliumia wakati wa mkutano kwa kuanguka kutoka jukwaani... balaa limemuepuka, asante mungu!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but when the danger passes away, their greed for wealth prompts them to greet you with their sharp, scissor-like tongues.
na khofu ikiondoka wanakuudhini kwa ndimi kali, nao ni mabakhili kwa kila la kheri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
big danger hovering over middle eastern societies: desensitization as atrocities multiply, become part of daily 'normalcy.'
changamoto inayowakabili watu wa mashariki ya kati:big danger hovering over middle eastern societies: kadiri ya matukio ya kikatili yanavyoongezeka, kupuuzwa kwa matukio haya kunachukuliwa kawaida katika maisha ya kila siku.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the next morning he proceeded to the city in fear and looking around as one apprehensive of danger when all of a sudden, the man who had sought his help the day before again called out to him for his help.
akapambazukiwa mjini asubuhi naye ana khofu, akiangalia huku na huku. mara yule yule aliye mtaka msaada jana akawa anampigia kelele amsaidie.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as someone who loves languages, i am chagrined to read the news coming out of unesco's presentation of the updated atlas of the world’s languages in danger of disappearing.
nikiwa mmojawapo wa watu wanaopenda lugha, ninasikitishwa ninaposoma habari zinazotoka wakati wa kutolewa kwa kitabu kipya cha ramani ya lugha zilizo hatarini kutoweka duniani cha unesco.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
so that not only this our craft is in danger to be set at nought; but also that the temple of the great goddess diana should be despised, and her magnificence should be destroyed, whom all asia and the world worshippeth.
hivyo iko hatari kwamba biashara yetu itakuwa na jina baya. si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya nyumba ya mungu artemi kuwa si kitu cha maana. hatimaye sifa zake huyo ambaye asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha."
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
(the threat of danger) but increased the faith of them and they cried: allah is sufficient for us! most excellent is he in whom we trust!
hayo yakawazidishia imani, wakasema: mwenyezi mungu anatutosha, naye ni mbora wa kutegemewa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dangers of drugs to our lungs
hatari za dawa za kulevya kwa mapafu yetu
Last Update: 2024-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: