From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
social studies
masomo ya kijamii
Last Update: 2017-06-12
Usage Frequency: 4
Quality:
Reference:
we will keep our eyes on namibia to see the future of social media in the country.
tutayakazia macho yetu namibia kuoana mustakabali wa vyombo vya habari vya kijamii katika nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the wave of social media backed revolutions in north africa has raised the consciousness of many.
mawimbi ya mapinduzi yaliyosukumwa na vyombo ya habari vya kijamii katika nchi za kaskazini mwa afrika yameamsha uelewa kwa wengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is also possible to claim that russia has not yet developed the tradition of social media reporting.
pia inawezekana kudai kuwa urusi bado haijaendeleza utamaduni wa utoaji taarifa kupitia uanahabari wa kiraia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the friedrich ebert foundation has published a research report on the use of social media in cameroon:
shirika la friedrich ebert limechapisha ripoti ya utafiti kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii nchini cameroon:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
or is what appears to be a gradual decline in blogging simply because of social media and changing norms?
au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
that all developed countries differ greatly in their systems of governance (and the presentation of social services)
kuwa nchi zote zilizoendelea zinatofautiana sana kwa mifumo yao ya utawala (na uwasilishaji wa huduma za jamii)
Last Update: 2013-12-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in the words of patrick utomi (until recently, a presidential candidate of social democratic mega party):
katika maneno ya patrick utomi (ambaye mpaka hivi karibuni alikuwa mgombea urais wa chama cha social democratic mega party (sdmp):
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in terms of the popularity of social media, as elsewhere, facebook is the single most popular social media tool in cameroon.
kwa upande wa umaarufu wa mitandao ya kijamii, kama ilivyo kwingineko, facebook ndiyo zana maarufu zaidi nchini cameroon.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
colin meyn explains how the 'rapid spread of social media is altering cambodia’s political landscape.'
colin meyn anaelezea jinsi 'kuenea kwa haraka kwa kwa vyombo vya habari vya kijamii kunabadilisha mazingira ya kisiasa nchini cambodia.'
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"many of us have experienced the phenomenon of social media companies taking down our content or deactivating accounts," jillian said.
"wengi wetu tumeshashuhudia matukio ya makampuni ya uanahabari wa kijamii yakiondoa baadhi ya yale tuyawekayo katika mitandao na pia kufunga akaunti zetu,"jillian alidokeza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the sudanese diaspora were on standby for those who needed help on the ground giving tips on how to document the protests and possible use of social media sites in the advent of an internet shutdown.
raia wa sudani wanaoishi nje ya nchi hiyo walikuwa tayari kwa wale waliohitaji msaada walioko eneo la tukio kwa kuwapa maelekezo ya namna ya kutangaza maandamano hayo na matumizi ya zana za uandishi wa kiraia ikitokea mtandao wa intaneti umekatwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sovichet tep, a high school student and one of the country's youngest bloggers, also noticed the growing importance of social media in the country:
sovichet tep, ambaye ni mwanafunzi wa shule ya upili na miongoni mwa wanablogu wadogo kabisa nchini cambodia, pia, aligundua hali ya kuongezeka kwa umuhimu wa uanahabari wa kijamii nchini mwake:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, on 12 may 2013, a case of human-to-human transmission in france was confirmed by the french ministry of social affairs and health.
hata hivyo, tarehe 12 mei 2013, tukio la usambazaji kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine ulithibitishwa huko ufarasana na wizara ya ufarasa ya mambo ya kijamii na afya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in relation to the new cosmos series, víctor r. ruíz reflects on how the search for scientific knowledge is becoming a question of social responsibility, and the role of scientists in the public sphere:
katika mfululizo mpya wa cosmos, víctor r. ruíz anaonyesha jinsi ambavyo kutafuta maarifa ya kisayansi limekuwa ni jukumu la kijamii na kisayansi katika nyanja za umma:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"it would help to bolster public support for immigration and acceptance of social diversity if more minority leaders were as ready to show to mainstream australian values the respect they demand of their own."
“lingesaidia kuimarisha kuungwa mkono kwa uhamiaji na kukubalika kwa utofauti wa jamii ikiwa viongozi zaidi wa walio wachache wangekuwa tayari kuwaonyesha heshima kwa maadili ya waaustralia walio wengi kama vile wanavyotaka (maadili) yao yaheshimiwe.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the united kingdom's response to the virus first emerged as one of the most relaxed of the affected countries, and until 18 march 2020, the british government did not impose any form of social distancing or mass quarantine measures on its citizens.
mwitikio wa uingereza kwa virusi ilitokea kwanza kama mojawapo wa zilizo legevu zaidi katika nchi zilizoathirika, na hadi 18 machi 2020, serikali ya uingereza haikuweka hatua yoyote ya kutotangamana kwa watu au karantini kubwa kwa raia wake.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"we want to do away with the walls that divide and separate us, whether it's the walls of social class or the wall of ethnicity or the walls of religion," she says.
"tunataka kuachana na mipaka inayotutenga na kutugawanya, iwe ni mipaka ya matabaka ya kijamii au mipaka ya kidini," alisema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
today, many bloggers in the united states are honoring his memory with dedicated posts, linking his legacy of social justice with issues of today, demonstrating that 42 years after king's assassination, his words are just as relevant.
leo, wanablogu wengi nchini marekani wanaadhimisha kumbukumbu yake kwa kuandika makala za kumuenzi, huku wakiungalisha urithi wake wa masuala ya haki za jamii na masuala ya leo, wakionyesha wazi kuwa miaka 42 baada ya kuuwawa kwa king, maneno yake bado yana maana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after sifting through the numerous exchanges that took place during the night of the election, an idea seems to creep up as part of the debate: the need for mutual recognition to overcome the long separation of social classes, and the need for self-criticism from each of the players.
baada ya kupitia mijadala mbalimbali iliyotokea usiku wa uchaguzi, kuna wazo linaonekana kujitokeza kuwa sehemu ya mjadala: hitaji la kutambua kwa pamoja umuhimu wa kumaliza matabaka katika jamii, na hitaji la wadau wote kujichunguza wenyewe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: